Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,630
BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI
Ndiye Askofu Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania (1963 -1976).
Ndiye Mwanzilishi wa Hospitali Ya Rufaa KCMC alikuwa na maono makubwa juu ya KCMC.
Chuo Kikuu cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO),hapo awali kilijulikana kwa jina la masoka kilichopo Moshi Kimeitwa Kwa Kumbukumbu ya jina Lake.
Shule ya Sekondari "Bishop Moshi" Iliyopo Mamba-Kotela Imeitwa Kwa Kumbukumbu Ya Jina Lake.
Alikuwa Mtu Mashuhuri Sana, Mwenye Msimamo Na Mwenye Kuheshimiwa Sana Na Kila Mtu.
Marangu, Wilaya Ya Moshi Vijijini.
Sent using Jamii Forums mobile app

Alizaliwa Huko Mamba-Kotela Mwaka 1906, Akafariki Mwaka 1976 Na Kuzikwa Huko Kijijini Kwake Mamba-Kotela katika kanisa la kirutheli usharika wa mamba kotela, Mashariki mwa
Sent using Jamii Forums mobile app