Nkipata ela ntajaribu Kindle Fire, ila kwa most facilities, besides kununua vitabu, ukiwa nje ya North America is simply useless. Niko na gen 2 with 3g, it almost suits me alright, ingawaje naona OS yake is somehow slow, pia ina 1.5Gb only which is a joke. Lakini i can still survive for my basic reading needs na kununua vitabu nnavotaka right on time badala ya kuzungukia manually kwene bookshops.
Ngojea nizichange, kwanza maana TRA nao wana kifronti sana.Kindle Fire is worth your money. I have one and it's worth every dollar I paid for it. Nilitaka kununua Nook tablet lakini kwa cost nadhani ilikuwa overrated ukilinganisha na Kindle Fire.
Mimi natumia Kindle Keyboard yenye 3g/wifi na ninaiona ni nzuri tu. Licha ya kununua vitabu, ninaweza vilevile kupata vitabu vingi vya bure. Nina vitabu vingi sana nimevihifadhi katika indle yangu na vingine kwenye maktaba za Amazon.
Kindle ni kifaa cha ki electronic ambacho unaweza kusoma vitabu ambavyo una download humo. Kindle ina nafasi ya kuweka vitabu vingi e books. Kwa mfano mimi napenda kusoma vitabu vya James hadley Chase. Nimedownload vitabu vyote na nimevihifadhi humo. Kwa mfano nabeba vitabu zaidi ya 50 katika kifaa hicho. Kwa maelezo zaidi soma hapa:Mzee swayo hebu nielekeze mana mm sijui kitu hapo...
Tangu Kuanzishwa mwaka 2007, Kindle imajizolea umaarufu mkubwa kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya majarida, vitabu, blogs na habari mbalimbali kutoka vyombo vya habari vianavyotoa habari katika mitandao.
Kwa ufupi KINDLE ni kifaa, tofauti kidogo na iphones au smartphones nyingi kutokana na uwezo wake wa kutoa muonekano halisi wa karatasi kielectroniki na wakati huo huo kutumia umeme kidogo kuliko smartphones.
Kuanza kwa matumizi ya kifaa hiki kumeleta mabadiliko makubwa kihistoria, kwa mfano katika miezi mitatu mfululuzo mwaka 2010, mauzo ya vitabu halisi katika mtandao yalipitwa kwa kiasi kikubwa na mauzo ya ebooks na pia uwezo wake wa kuhifadhi au kukaa na chaji hadi kufikia mwezi mmoja(kindle ya kizazi cha nne)
Kwa sasa Kindle iko katika kizazi cha nne, (fourth generation).........
Soma zaidi hapa katika 2zone
MImi ni mtumiaji mzuri wa kindle na nimepata bahati ya kuwa na kila toleo la kindle na hivi sasa ninaitumia toleo jipya kabisa la inaitwa "kindle fire "lakini kwa maoni yangu iPad bado ipo juu kwani Nina matoro yote pia ya iPad 1 hadi 3 "kindle fire" ililenga ku compete na iPad 2 lakini haijafua dafu.
l
Kindle Fire inatumika ukiwa USA na haiai kama unaishi nje ya hapo. Hii ni kwa sababu kuwa unachokiona kwenye Kundle Fire kinatokana katika mitandao ya hapo hapo.MImi ni mtumiaji mzuri wa kindle na nimepata bahati ya kuwa na kila toleo la kindle na hivi sasa ninaitumia toleo jipya kabisa la inaitwa "kindle fire "lakini kwa maoni yangu iPad bado ipo juu kwani Nina matoro yote pia ya iPad 1 hadi 3 "kindle fire" ililenga ku compete na iPad 2 lakini haijafua dafu.
l
Bonyeza kwenye hiyo link niliyoweka hapo juu utapata bei zake katika mitandao ya Amazon.kuna mdau kaulizia bei yake,
ningependa kujua pia.
MImi ni mtumiaji mzuri wa kindle na nimepata bahati ya kuwa na kila toleo la kindle na hivi sasa ninaitumia toleo jipya kabisa la inaitwa "kindle fire "lakini kwa maoni yangu iPad bado ipo juu kwani Nina matoro yote pia ya iPad 1 hadi 3 "kindle fire" ililenga ku compete na iPad 2 lakini haijafua dafu.l