Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
No country on the planet Earth has ever achieved long-term growth and reduced poverty in a meaningful way by relying on aid. It is just never happened. So we are pushing a strategy that has no evidence of working anywhere on Earth. And we have years of evidence that aid strategy does not work.
In fact, there is an ongoing debate that, if industrial nations really want to help Africans, they should terminate aid, noting that the countries that have received the most help are the worst off, here Tanzania is the best example. The idea runs counter to the western conventional theory that we need more and more aid to Africa
Actually yanatajwa mambo matatu, Western development policy in Africa, combined with corrupt leaders, and the epidemic of AIDS kuwa ndiyo yanasababisha nchi za Africa zisiweze kurealize benefits za misaada wanayopata. Zaidi ya hayo misaada inadhohofisha capitalist economies in place na inapunguza msukumo kwa waafrika kujitegemea na kujiletea maendeleo yao wenyewe kama kujijengea miundombinu yao na kujitengenezea sheria za kulinda masoko ya bidhaa wanazozalisha.
Ufundi wa kuomba misaada na kutia sahihi mikataba mbalimbali ya misaada imekuwa symbol ya mafanikio kwa Serikali ya Tanzania. This statement is actually qualified by a number of abroad trips our president has during his 7 years of service. That being not enough, mtakumbuka Waziri Bernard Membe wakati wa Kampeni za urais 2010, alimnadi JK kuwa ndiye anayefaa kupewa urais sababu wazungu wanampenda na hivyo atuletea misaada mingi na hivyo nchi yetu itaendelea. Waziri Bernard Membe sio mtanzania pekee mwenye hii line of thinking, wapo wengi sana.
African economics experts advocate kwa nchi kujikwamua kiuchumi ni lazma kuwe na mchanganyiko wa mambo yafuatayo ''trade, foreign direct investment, capital markets, the bond markets, remittance and microfinance''. Kwa ujumla wake nchi inatakiwa kuiwezesha sekta binafsi kuendesha uchumi wa nchi ili kuweza kutengeza ajira za kutosha kwa wananchi. Tatizo kubwa la misaada ni kwamba hakuna ajira za kutosha zinazozalishwa kwa ajili ya wananchi. Matokeo yake linajengwa taifa la watu wajanjawajanja, wezi, mafisadi, matapeli, wazurulaji na wenye kila aina ya utegemezi na ubabaishaji.
Hitimisho, kama serikali yetu inataka kujikwamua kimaendeleo, nguvu zielekezwe kwenye kufufua sekta binafsi hususan kupitia kilimo na viwanda. Aidha, ufisadi upigwe vita kwa kila hali mana ndio unaofanya hata misaada tunayopata isitusaidie. Aidha, serikali ielekeze nguvu kwenye kukusanya mapato yake ya ndani maana hivi sasa asilimia ya kodi inayokusanywa ni peanut na ipo great potential ya serikali kuendesha budget yake kwa kutumia mapato yake ya ndani bila hata kutegemea misaada ya wahisini. Itakuwa ni upumbavu mkubwa kuacha kustrategize how best we collect tax na kuimprove our tax base na kurely on development aid katika kujikwamua kiuchumi.
Je unadhani kwa serikali yetu hii tunaweza ku get-off of aid dependence???
For details visit http://unambig.com/tag/dambisa-moyo/ and http://www.dambisamoyo.com/