If you want long lasting relationship, usiguse simu ya mpenzi wako

Duh hl swala jamani kwangu ni jeraha kubwa ni zaidi ya mala3 ugomvi chanzo ni cm.nimeamua kuangalia 2 mwisho wake unakuja.

QUOTE=bebii;2446412]mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana

Mhhh hili sharti ni la kwanza kunitoa baru. Hata saa moja tuu siruhusu m[/QUOTE] HUWEZI HATA KIDOGO MAANA HAUKO SAFI MIMI HATA UKITAKA MWAKA

Mhhh hili sharti ni la kwanza kunitoa baru. Hata saa moja tuu siruhusu m
HUWEZI HATA KIDOGO MAANA HAUKO SAFI MIMI HATA UKITAKA MWAKA[/QUOTE]
Ah then huna haja ya kuwa nayo kbs weka landline

Hii issue yote inazunguka katika suala la TRUST. Unapojizuia kugusa simu ya mpenz wako kwa kisingizio cha kuogopa kuumia ina maana huna trust kwa mwenzio na kama hajakupatia sababu za kumshuku, utakuwa humtendei haki.
Ukiamua kutokuigusa usiiguse kwa sababu UNAMUAMINI na si kwa kuwa unaogopa kuumizwa.

Kama hujapewa sababu ya kushuku, jiamini na umwamini maisha ni mafupi jamani try to enjoy every minute of it badala ya kuumiza vichwa
NI kweli MJ1

nyongeza tu ni kwamba, waweza kusoma kitu kisicho na maana mbaya lakini kutokana na negativity, basi conclusion yako huamia huko kubaya

But we also need to respect ile privacy ya kila binadamu... a mobile phone or email should not be a focus of any couple whether kuna trust au la

Kuna wimbo ulisema
bwana kama wewe, ungehesabu maovu yetu
nani angesimama, nani angesimama

ni very basic lakini umemaliza yote

WE SHOULD FOCUS ON LOVE AND PROGRESS RATHER THAN WHAT IS IN THE PHONE OR EMAILS

NI kweli MJ1

nyongeza tu ni kwamba, waweza kusoma kitu kisicho na maana mbaya lakini kutokana na negativity, basi conclusion yako huamia huko kubaya

But we also need to respect ile privacy ya kila binadamu... a mobile phone or email should not be a focus of any couple whether kuna trust au la

Kuna wimbo ulisema

bwana kama wewe, ungehesabu maovu yetu

nani angesimama, nani angesimama
Haleluya!

kwahiyo hata kama ikitokea nimegundua kuwa ananisaliti kwa kupitia simu yake ninyamaze tu kama nimemezeshwa mapande ya barafu eeee. Mi sikubali lazima patachimbika tu.

nawewe ni mzee wa mateke ama atakoma...kama avatar yako

nyumba kubwa na nyani ngabu mmesema maneno ya msingi sana thanks ukiona mtu anafanya hayo ana agenda zisizo rasmi period tusilete maneno ya kujustfy uovu wetu maana mwisho wa siku haulipi.

chauro, hivi mmeo/best akishika simu yako inamaana anasoma msg na kupokea incoming calls???
If yes, kumbe hata anayeng'ang'ania kushika simu ya mwenzake ni kama anamwambia mwenzake "nataka kukuchunguza kama unavimeo...lete simu yako nipokee calls na kusoma sms"
tujuze kidogo...

anaweza shika akiwa anaangalia mambo mengine na wala sio msg au kupokea simu na akitaka kuishika wakati wowote yupo huru nayo siwezi mzuia siwezi anza kujipa presha ya kuficha simu au mkukuta nayo na kuanzisha zengwe kama alivonipa uhuru na ya kwake.

chauro, hivi mmeo/best akishika simu yako inamaana anasoma msg na kupokea incoming calls???
If yes, kumbe hata anayeng'ang'ania kushika simu ya mwenzake ni kama anamwambia mwenzake "nataka kukuchunguza kama unavimeo...lete simu yako nipokee calls na kusoma sms"
tujuze kidogo...

kwanini mtu uwe na pressure ya simu? simu iwe free simu inatolewa mlio mtu anaenda nayo hadi bafuni? kwanini atm card mnaziacha na mawalet yenye hadi dola? anayeficha simu ni muhuni wala halipingiki

kwanini mtu uwe na pressure ya simu? simu iwe free simu inatolewa mlio mtu anaenda nayo hadi bafuni? kwanini atm card mnaziacha na mawalet yenye hadi dola? anayeficha simu ni muhuni wala halipingiki

hakika.

Nimegundua mtu kibao humu siyo waaminifu, poleni sana. Mimi yangu nakupa mwaka mzima ukikuta hata aliyendika nakupenda hata kwa message kupotea basi itakuwa ya kubumba.

Caroline Danzi; Nimegundua mtu kibao humu siyo waaminifu, poleni sana. Mimi yangu nakupa mwaka mzima ukikuta hata aliyendika nakupenda hata kwa message kupotea basi itakuwa ya kubumba.

CD,

Mtu kama ana hofu na simu yake ndo anaikatalia mwenzi wake asiiguse. NN ameuliza swali, kama munaweza kufuniliana nguo mkabaki uchi privacy in zipi zaidi ya hizo sehemu zinazofichwa hata kwa watoto wadogo? Mwili mmojaa ina maana gaani kama siyo kuwa kitu kimoja? Huwa sioni sababu ya kuweka limitation kwenye kushika simu yangu linapokuja suala la uaminifu na kujiamini.

Hailazimishwi, ni kila couple kufanya yale wanayoona ni bora katika kuimarisha mahusiano yao. Unayoona si vyema kwako kwa mtu mwingine ina-work out. Ndo maana binadamu tupo tofauti na mahusiano pia yako tofauti.

Nimegundua mtu kibao humu siyo waaminifu, poleni sana. Mimi yangu nakupa mwaka mzima ukikuta hata aliyendika nakupenda hata kwa message kupotea basi itakuwa ya kubumba.
Caro watu waaminifu sana humu, lakini pia wako wazi kueleza fikra zao

naunga mkono hoja. naomba kuparaphrase kidogo tu. Ukitaka kuachana na mpenzi wako, soma simu yake! kazi na sababu zaa kuachana nae utazipata humo humo tena mapema kabisa!

Nimegundua mtu kibao humu siyo waaminifu, poleni sana. Mimi yangu nakupa mwaka mzima ukikuta hata aliyendika nakupenda hata kwa message kupotea basi itakuwa ya kubumba.

Za kubumba hizo hizo zaweza vunja ndoa! Akute SMS ya kutoka kwangu mie kaunga nimekuaddress as sweetie, ataamini kuwa mimi ni mwanamke rafiki yako?

Nina rafiki yangu mzambia mume wake amegombana na mkewe because of my SMS na rafiki yangu kasave jina langu la kikristu; ila mumewe kasema sio kweli ni dume lkn amesave jina la kike! Mkewe alivyoamua kunipigia na kuongea na mumewe bado alisema amempa Simu mwanamke ili auwe soo!

Kukagua simu hakubadilishi tabia ya watu, kama ni malaya/cheater/si mwaninifu ni malaya tu, na wengi twawajua! Kujidanganya ni coping mechanism; wangapi wanawakamata lkn wanamg'ang'ana? Bora kutumia mbinu ya Gaga ya kumfanya mume/mke akuonee wivu kuliko kujiumiza roho kwa kitu ambacho unakijua tayari (uaminifu wa mwenzio)

Back
Top Bottom