Ukweli ni kwamba ile tabia ya US kujifanya anaweza kuamuru lolote popote umefikia hatua zake za Mwisho, watu wengi tunaona US amesaidia maasi mengi Duniani tena waziwazi kabisa akitumia media zile za wanywa damu za BBC, SKY, EURONEWS, CNN NA HATA ALJAZEERA kuilisha Dunia nzima ulongo...imefikia hatua hata kule Ulaya wanavutana sana je ni sawa Ulaya kuifuata US kwa kila inachotaka??"!
Ujerumani kwa mfano anaingia tu ila anasita sana na haya masuala ya US , hivi sasa hibi vikwazo kwanza Russia wenyewe wanavifurahia mana vinawafumbua macho wajiweke sawa kijeshi na waangalie upepo wa Dunia ukojee na waelekeze wapi ushirika wao, kwa sisi Afrika ilikua ni nafasi yetu ya kujijenga na kuwa na sauti kuu , lakini ndio hivyo tuna laana sisi tupo Dunniani hatuna la maana hasa hatuna Viongozi wenye maono hawapo....
Russia atashinda dhidi ya hawa jamaa na siku si nyingi mtaona tu US atabakia kama debe mana Dunia imeichoka sana US..