Ameolewa tena na mfanyabiashara amezaa nae twins jumla ana watoto watatu mmoja kwa lile jamaa mandevu aliloigiza nalo anajutia ndoa yake na bwana mindevu pia ana ugonjwa wa ngozi mikononi .Nimegoogle habari zake amekuwa mtu mzima wakati anaigiza alikuwa na miaka 15 tu.