Kila mja na nyota yake! Huyu ana mambo mengi yanayonifanya nimpende, lakini pia hata "mzee baba" pia ana swaga zake,, saivi yuko zake chatoo.. Anamwagilia kabichi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnaandika mafumbo. Hamueleweki. Wanaume wa kweli ni wale wanaojiamini. Wekeni mambo hadharani. Acheni nidhamu ya woga
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna habari? Google!Heheh mkuu [emoji23][emoji23] 'mdomo ukome' usikuponze,
Anamwagilia nini????🤣🤣🤣
Kweli imempendeza hata akishuka huko wazimbabwe watazani huyo ndie rais wa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app