If we Change, Every thing shall change for Us

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,197
Reaction score
7,533
terrifiedofchangelead_980x457.jpg
 
terrifiedofchangelead_980x457.jpg

Kama Watanzania tukiamua kubadilika; kila kitu kinachotuhusu kitabadilika na kama tukiendelea kuwa kama tulivyo hakuna kitakachobadilika.

Kama mtu hajui aendako hawezi kupotea. Popote alipo au atakapokuwa itakuwa ni sawa. Kama mtu hajui au hana uhakika wa nini atakacho, chochote apatacho ni sawa.Kokote atakapoanzia, kokote atakapopita na atakapoishia ni sawa tu. Upepo ukiende kushoto, ataenda ukirudi kulia atarudi na ukiisha atatulia alipo.

Ni lazima wanadamu tuishi maisha yenye dhima "live with purpose" Tujue kwa nini tunaishi? tunataka nini? na tujiwekee misingi ya kufikia kile anachokitaka. Watanzania wengi hili bado hatujalielewa na athari yake ni kwamba tukiamka asubuhi tunaangalia nini kinatokea; tuanaenda nacho hadi jioni, tukiamka siku ya pili tunaangalia tena nini kinatokea tunaenda nacho na cha jana yake tushakisahau hivyo hivyo hadi kila mmoja wetu muda wake wa kuondoka duniani unafika, anaondoka naye anasahaulika.

Sasa kwa kuishi maisha ya namna hiyo, tusitegemee kupata matokeo ya maana sana wala kuwa na mchango mkubwa kwenye kuibadili nchi hii na hali ya maisha ya watu wake kwani katika mazingira hayo; chochote kitokeacho kwetu ni sawa kwa kuwa hatuna muelekeo maalum.

Pamoja na maneno yakuudhi aliyotuambia Mzee Trumph; tunayo mambo ya kujifunza kutoka kwake hasa alipoeleza baadhi ya mambo yaliyoifanya Amerika na Ulaya Kuendelea na baadhi ya matatizo aliyotueleza kuwa watu weusi tunayo ikiwemo tabia ya kupenda kutafuta zilipo ndizi mbivu badala ya kuivisha za kwetu.

Mathalan, kuna mambo ambayo watanzania kila tukiamka asubuhi tunayalalamikia lakini hatuchukui hatua yoyote ya maana, au hatua tunazochukua ni zile zile na matokeo yanakuwa yale yale lakini wala hatugutuki; tunaendelea vile vile tu! tukiamini ipo siku mambo yatabadilika tu bila kujua kuwa kufanya hivyo ni kinyume kabisa na kanuni za kimaumbile ambapo ili binadamu afanikiwe ni lazima a- comply na kanuni hizo za kimaumbile.

Tunasema eti karne ya 15, Afrika na Ulaya zilikuwa na maendeleo yanayokaribia kulingana lakini hatutafakari kwa kina kwamba kwa nini tupo hivi leo, tunafanya nini na wengine wanafanya nini na kwa nini. Tunapenda sana simple things, decisions & conclusions kwenye mambo nyeti.Tunasema Waafrika hatupendani kisha tunaishia hapo. Tunasema ukosefu wa ajira kwa vijana nchini ni bomu linalosubiri kulipuka kisha tunaishia hapo.Tunasema uzalendo umepotea Tanzania lakini hatupigi hatua mbele kujiuliza kwa nini na tufanye nini. Tunasema watanzania hatupendi kusoma vitabu halafu tunaishia hapo.Tunasema watanzania hatupendi kujadili mada za maana na kutoa hoja zenye manufaa kwetu na kwa watanzania wenzetu kisha tunaishia hapo then tunasubiria tukio la siku! n.k.

Ndugu watanzania wenzangu, tusipoamua kubadilika hakuna kitakachobadilika juu yetu. Hiyo ni kanuni ya kimaumbile. Aidha kubadilika huko kunatakiwa kuanzie kwenye fikra zetu, Falsafa zetu na kisha tabia zetu. Tusichoke kujifunza na tunayojifunza tuyafanyie kazi. Si nchi,si vyama vya siasa au kitu chochote kitakachokuwa na chochote ikiwa hatutabadilisha fikra zetu na kutoa muelekeo tofauti.

Dunia ni pana sana na ina vitu vingi sana ila kwa bahati mbaya Watanzania wengi (si wote) tunafikiri Dunia ni Ufipa na Lumumba, Chadema na CCM, kisha tushamaliza kila kitu, kinachofuata udaku wa nani kamjibu nani.

Ndugu watanzania wenzangu, tunatakiwa tufahamu kuwa dunia haitusubiri na muda tulio nao duniani ni mfupi mno. Sasa tukiamua kujifungia kwenye kaduara kadogo mno ka kufikiri wakati wenzetu wanatanua wigo wa kufikiri na kufanya maamuzi yenye impact za ajabu duniani na kuyatekeleza kwa kasi ili kutimiza dhima ya maisha yao; huo utakuwa ni mzigo wetu wenyewe. Tutakuwa tumeamua kuwa mfano wa sisimizi aliyeingia kwenye kifuu chenye maji akadhani anaogelea kwenye bahari, kumbe yuko kwenye dunia ya peke yake!.

Ni lazima sasa Watanzania tuelewe kuwa ili kuweza kupata mabadiliko na maendeleo tunayoyataka, ni lazima sisi wenyewe kwanza kubadilika kwanza na hayo yote huanzia kwenye fikra zetu.

Kwa nini tusibadilike ili kuifanya itikadi ya Trump kuwa "WRONG?"
 
You are very right Mr. Aziz.. But the reality the System has already been ahead of every Tanzania.. Everyone is under control of everything. It's like many are stacked.. and you can't keep silence when you see things are not pleasant to any you no matter how strong or weak you are. The System must Change especilly the authorities. Whatever you want to do authorities has their hands on you to regulate your pressing forward.. So for both intelligents and fools are in one basket as many professores been useless currently.
 
terrifiedofchangelead_980x457.jpg

Kama Watanzania tukiamua kubadilika; kila kitu kinachotuhusu kitabadilika na kama tukiendelea kuwa kama tulivyo hakuna kitakachobadilika.

Kama mtu hajui aendako hawezi kupotea. Popote alipo au atakapokuwa itakuwa ni sawa. Kama mtu hajui au hana uhakika wa nini atakacho, chochote apatacho ni sawa.Kokote atakapoanzia, kokote atakapopita na atakapoishia ni sawa tu. Upepo ukiende kushoto, ataenda ukirudi kulia atarudi na ukiisha atatulia alipo.

Ni lazima wanadamu tuishi maisha yenye dhima "live with purpose" Tujue kwa nini tunaishi? tunataka nini? na tujiwekee misingi ya kufikia kile anachokitaka. Watanzania wengi hili bado hatujalielewa na athari yake ni kwamba tukiamka asubuhi tunaangalia nini kinatokea; tuanaenda nacho hadi jioni, tukiamka siku ya pili tunaangalia tena nini kinatokea tunaenda nacho na cha jana yake tushakisahau hivyo hivyo hadi kila mmoja wetu muda wake wa kuondoka duniani unafika, anaondoka naye anasahaulika.

Sasa kwa kuishi maisha ya namna hiyo, tusitegemee kupata matokeo ya maana sana wala kuwa na mchango mkubwa kwenye kuibadili nchi hii na hali ya maisha ya watu wake kwani katika mazingira hayo; chochote kitokeacho kwetu ni sawa kwa kuwa hatuna muelekeo maalum.

Pamoja na maneno yakuudhi aliyotuambia Mzee Trumph; tunayo mambo ya kujifunza kutoka kwake hasa alipoeleza baadhi ya mambo yaliyoifanya Amerika na Ulaya Kuendelea na baadhi ya matatizo aliyotueleza kuwa watu weusi tunayo ikiwemo tabia ya kupenda kutafuta zilipo ndizi mbivu badala ya kuivisha za kwetu.

Mathalan, kuna mambo ambayo watanzania kila tukiamka asubuhi tunayalalamikia lakini hatuchukui hatua yoyote ya maana, au hatua tunazochukua ni zile zile na matokeo yanakuwa yale yale lakini wala hatugutuki; tunaendelea vile vile tu! tukiamini ipo siku mambo yatabadilika tu bila kujua kuwa kufanya hivyo ni kinyume kabisa na kanuni za kimaumbile ambapo ili binadamu afanikiwe ni lazima a- comply na kanuni hizo za kimaumbile.

Tunasema eti karne ya 15, Afrika na Ulaya zilikuwa na maendeleo yanayokaribia kulingana lakini hatutafakari kwa kina kwamba kwa nini tupo hivi leo, tunafanya nini na wengine wanafanya nini na kwa nini. Tunapenda sana simple things, decisions & conclusions kwenye mambo nyeti.Tunasema Waafrika hatupendani kisha tunaishia hapo. Tunasema ukosefu wa ajira kwa vijana nchini ni bomu linalosubiri kulipuka kisha tunaishia hapo.Tunasema uzalendo umepotea Tanzania lakini hatupigi hatua mbele kujiuliza kwa nini na tufanye nini. Tunasema watanzania hatupendi kusoma vitabu halafu tunaishia hapo.Tunasema watanzania hatupendi kujadili mada za maana na kutoa hoja zenye manufaa kwetu na kwa watanzania wenzetu kisha tunaishia hapo then tunasubiria tukio la siku! n.k.

Ndugu watanzania wenzangu, tusipoamua kubadilika hakuna kitakachobadilika juu yetu. Hiyo ni kanuni ya kimaumbile. Aidha kubadilika huko kunatakiwa kuanzie kwenye fikra zetu, Falsafa zetu na kisha tabia zetu. Tusichoke kujifunza na tunayojifunza tuyafanyie kazi. Si nchi,si vyama vya siasa au kitu chochote kitakachokuwa na chochote ikiwa hatutabadilisha fikra zetu na kutoa muelekeo tofauti.

Dunia ni pana sana na ina vitu vingi sana ila kwa bahati mbaya Watanzania wengi (si wote) tunafikiri Dunia ni Ufipa na Lumumba, Chadema na CCM, kisha tushamaliza kila kitu, kinachofuata udaku wa nani kamjibu nani.

Ndugu watanzania wenzangu, tunatakiwa tufahamu kuwa dunia haitusubiri na muda tulio nao duniani ni mfupi mno. Sasa tukiamua kujifungia kwenye kaduara kadogo mno ka kufikiri wakati wenzetu wanatanua wigo wa kufikiri na kufanya maamuzi yenye impact za ajabu duniani na kuyatekeleza kwa kasi ili kutimiza dhima ya maisha yao; huo utakuwa ni mzigo wetu wenyewe. Tutakuwa tumeamua kuwa mfano wa sisimizi aliyeingia kwenye kifuu chenye maji akadhani anaogelea kwenye bahari, kumbe yuko kwenye dunia ya peke yake!.

Ni lazima sasa Watanzania tuelewe kuwa ili kuweza kupata mabadiliko na maendeleo tunayoyataka, ni lazima sisi wenyewe kwanza kubadilika kwanza na hayo yote huanzia kwenye fikra zetu.

Kwa nini tusibadilike ili kuifanya itikadi ya Trump kuwa "WRONG?"
Tz true, kikubwa hata elimu zetu za dini zinatufanya kua na mawazo tegemezi kwani kila tufkapo ukomo wa kuwaza humwachia mungu badala ya kusaka ugumu ulipo.
 
Back
Top Bottom