If this is a true solution to "ajira kwa vijana".........

If this is a true solution to "ajira kwa vijana".........

ARKADI MAKONA

Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
14
Reaction score
2
Kuna mwanasiasa mmoja(EL) husisitiza kuwa njia mbadala ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini ni kutumia rasili mali zilizopo kukopa fedha toka nje na kujenga viwanda hatimae kuweza kuwapa vijana ajira.Je kama this is possible kwanini Watz tusichukuwe hatua hii? Au ndo kusema tutampaisha EL kisiasa??? NAOMBA KUWASILISHA
 
Back
Top Bottom