If Somalia wins Kenya should claim Pemba

Dhuks

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
1,629
697
Cs8cOvqWIAAdq-n.jpg

The Kenya vs. Somalia case has been ongoing for some time with preliminary judgment expected today. If the court rules that the sea border should follow the land border then it goes without saying that it should happen on both land borders which means that Kenya should start claims on Pemba
 
The green line makes sense even to a class 2 pupil....These Somalis need to go back to Geography school
 
Cs8cOvqWIAAdq-n.jpg

The Kenya vs. Somalia case has been ongoing for some time with preliminary judgment expected today. If the court rules that the sea border should follow the land border then it goes without saying that it should happen on both land borders which means that Kenya should start claims on Pemba
unAPumuliwa na majini wewe sio bure
 
Alafu wakenya bhana, nmewasikia BBC wakitoa hiyo hoja, sijui wanamtisha nani! Kwa maana nyingine wanajua ukweli kuwa wanachoclaim hawashindi ila wanataka wapate guts za kuidai Pemba!!!?
 
Mahakama ishaamua tayari kipande hicho kiko kenya.
 
naisubiri iyo hukumu nion kitakachtokea..
Tupe ushahidi mkuu, kwa mujibu wa BBC mahakama imewapa ushindi somalia kwamba mahakamani hiyo inayo mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo kinyume na Kenya waliyokuwa wakipinga kwa kigezo cha mkataba uliopo baina yao na somalia
 
Yes Pemba people are already more Kenyan than Tanzanian, just a bit of teaching them a little English and we are done!!
 
Naipenda Pemba sana, kwanza ikija kuwa Kenya basi na branch moja ya SGR itoke Port Reitz, south coast sea bridge hadi Pemba, safi sana!!! Sahi ni Isukuti tu!!
 
Hawa wanatia aibu na kutia mashaka vichwani mwao.
Mimi nilifikiri kwa sasa ilibidi muwe mmeshughulika na Al Shabab badala yake mnataka kuanzisha choko choko na jirani zenu, hua tunatiana moyo pamoja kila Al Shabab wakiwafanyia balaa.
Basi sawa ngoja tuone mtakapoishia.
 
Hao wakenya wana matatzo.....wanatafta matatzo.....naona wana hamu ya kukwaruzana na kila mwanachama wa EAC......natamani Kenya ishinde ndio tuone nin kitajiri Kenya ikianza kudai Pemba iko Kenya.......
 
Cs8cOvqWIAAdq-n.jpg

The Kenya vs. Somalia case has been ongoing for some time with preliminary judgment expected today. If the court rules that the sea border should follow the land border then it goes without saying that it should happen on both land borders which means that Kenya should start claims on Pemba

Nchi ya Kenya imeanzishwa lini? Na nani aidai Pemba yetu, Kenya au British Monarchy? Au Kenya ndo British Monarchy?

MTE1ODA0OTcxNjIzMzUxODIx.jpg
 
Back
Top Bottom