If handling of highly contagious, fatal pandemic disease ndiyo hii tuliyoiona kwenye Corona, human race will be wiped out from the face of the earth!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,983
Kwa jinsi dunia ilivyo-handle coronavirus /Covid-19 pandemic, ni wazi kuwa huko mbele, ukija ugonjwa wa mlipuko ambao unaambukizwa kwa haraka na unaua watu wengi kwa muda mfupi, mwanadamu atatoweka kwenye uso wa dunia KAMA DUNIA NDIVYO ITAKUWA IMEJIANDAA KWA MILIPUKO KAMA ILIVYOFANYA MCHEZO KWENYE CORONA.

Si USA, si EUROPE, si ASIA , si SCIENCE; kama handling ya milipuko inayoua watu wengi itakuwa kama hii, basi huko mbele ukija deadly pandemic kama Buboni plague, basi wanadamu watatoweka

The Black Death: The Greatest Catastrophe Ever | History Today
 
Kutoka China corona ilileta madhara makubwa Iran, italy, na Latin America, December 2019 corona ilianza kuenea Ulaya lakini hatua kali zilianza kuchukuliwa March. Kufika April 2020 idadi ya vifo ilikuwa takriban watu 1,000 Uingereza wengi wakiwa wazee wa 70+ na wenye magonjwa sugu.

Dunia sasa hivi imekua ndogo kutokana na maendeleo, watu wanasafiri umbali mrefu kwa muda mchache.
 
Nimegoogle, Magonjwa yoye haya ya milipuko yanaanzia china from human history!
 
Kwa jinsi dunia ilivyo-handle coronavirus /Covid-19 pandemic, ni wazi kuwa huko mbele, ukija ugonjwa wa mlipuko ambao unaambukizwa kwa haraka na unaua watu wengi kwa muda mfupi, mwanadamu atatoweka kwenye uso wa dunia KAMA DUNIA NDIVYO ITAKUWA IMEJIANDAA KWA MILIPUKO KAMA ILIVYOFANYA MCHEZO KWENYE CORONA.

Si USA, si EUROPE, si ASIA , si SCIENCE; kama handling ya milipuko inayoua watu wengi itakuwa kama hii, basi huko mbele ukija deadly pandemic kama Buboni plague, basi wanadamu watatoweka!

The Black Death: The Greatest Catastrophe Ever | History Today
mkuu tatizo sio janga la magonjwa ya mlipuko, tatizo ni kwamba kuna watu wamekaa mahali wanapanga mipango ya kuiangamiza dunia, na ndio hao hao wakiwa hadharani wanakua vinara wa mipango ya kuilinda dunia dhidi ya haya majanga!

dr fucci, boss wa WHO, bilgate ndio wanaongoza mapambano dhidi ya korona na hapo hapo ukiwasikiliza unaona kabisa wao ndio wameplay part kubwa kuja kwa korona!
 
Kwanza nchi nyingi sana zimeficha takwimu halisi za vifo.

Pili, dunia ya sasa inaangalia uchumi zaidi kuliko welfare ya watu.
 
Sijui kwanini tusifunge kwa maombi ya siku3 zingine kwa ajili ya HIV, MALARIA NA CANCER!.
 
Kwa jinsi dunia ilivyo-handle coronavirus /Covid-19 pandemic, ni wazi kuwa huko mbele, ukija ugonjwa wa mlipuko ambao unaambukizwa kwa haraka na unaua watu wengi kwa muda mfupi, mwanadamu atatoweka kwenye uso wa dunia KAMA DUNIA NDIVYO ITAKUWA IMEJIANDAA KWA MILIPUKO KAMA ILIVYOFANYA MCHEZO KWENYE CORONA.

Si USA, si EUROPE, si ASIA , si SCIENCE; kama handling ya milipuko inayoua watu wengi itakuwa kama hii, basi huko mbele ukija deadly pandemic kama Buboni plague, basi wanadamu watatoweka

The Black Death: The Greatest Catastrophe Ever | History Today
Dunia ya sasa inajali uchumi/pesa kuliko kitu kingine chochote kile.
 
Back
Top Bottom