acha kabisa mkuu usinikumbushe banana na chibuku kwani jana nilizipiga kweli kwenye nanenane na zipo powa sana siku hizi hata msister du wanazipiga sana.....legeza kidogo baba...Hivi Banana ni Bia, Kinywaji laini au Mataputapu?..
Watu wa mkoa gani wanaojielewa wanakunywa banana mkuu!?..acha kabisa mkuu usinikumbushe banana na chibuku kwani jana nilizipiga kweli kwenye nanenane na zipo powa sana siku hizi hata msister du wanazipiga sana.....legeza kidogo baba...
Banana ni wine strong nilikuwa nazigonga back in 2008 kipindi icho unapiga 3 halafu unaingia club ndio unakula vodcaHivi Banana ni Bia, Kinywaji laini au Mataputapu?..