Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
Irrelevances!! Vitu visivyostahiki kwa shughuli yenyewe!
Popo ndio padri.mi nimevutiwa zaidi na hiyo moccassin.
Mmmh...!
ya bwana harusi ooh kumbe ni raba sorry aseemoccassin ya padri?
Vipi tena mkuu? tafsiri hiyo picha tafadhali.
Sioni zaidi ya mate wanayokulana..
hapo ni ishu zinazoendana na nguvu za giza tu, hakuna ubishi wahusika wana associate na mafreemson tu
Vioja haviishi dunia hii