Ielezee hii picha

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
987
205816.jpg
 
Hii ndoa au matambiko??? Kwanza watu wenyewe wapo getini sijui apo,alafu huyo jamaa wa hapo pembeni mmmmh.
 
Hii taasisi imevamiwa sana sasa hv
No wonder kuna vibweka kila kukicha
Talaka na mafumanizi kila leo
 
hapo ni ishu zinazoendana na nguvu za giza tu, hakuna ubishi wahusika wana associate na mafreemson tu

Sasa kuna mtu kaniwekea mimi hiyo picha kwenye facebook yangu, nimweleweje na alitaka kumaanisha nini kwangu?
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom