Sidhani kama hata hao wamarekani hukurupuka tu. Nahisi kuna utaratibu hasa wote mkiwa ni watu wenye influence kubwa kwenye jamii. Kibongobongo hatujafikia uhuru wa namna hio. Angemconsult kuwa anataka kufanya stunt ili harmonize aaprove. We mtu hamjuani,hamna urafiki, maybe hamna mazoea yeyote halafu siku moja uletee upuuzi wa kiki namna hio. I'll chop ypur head man!