Habari zenu wakuu , nina IDM ambayo ni latest but nmejaribu kutafuta Key zake nikawa nmekosa
So naweza kupata msaada wa link ambayo inakuwa na Key ya Internet Download Manager?
Pls! Do it for me
Thank you!
Uninstall hiyo uliyopo.. Then pitia hapa http://kat.cr/usearch/idm/ ..iwapo una torrent client kama utorrent,bittorrent au tixati..utaeza download na kuinstall bila keys.
nenda khurramssoftwares.blogspots.com. hpo kuna key moja ya hatari. Yaani unaupdate idm, wenyewe wakiifungia wewe ni ku-run hiyo key na kitu kinabaki up to date. mwaka wa 3 natumia hiyo key bila zengwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.