Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili .tafadhali naomba msaada kuhusu hili;natumia idm kudownload movie na video ila siku za hv karibun imekua inanizingua inadownload video ila haitoi sauti naomba msaada ni fanye nn ama km naweza kupata down loader nyngine .natanguliza shukuran.

[URL="http://www.eagleget.com/"]EagleGet - EG Download Accelerator, Free Video Downloader and more[/URL]
Video kutotoa sauti: Kama ni youtube download video katika file format ya WEBM itakuwa na sauti , utagundua kuwa the same video katika fileformat FLV au MP4 hakuna sauti, ila katika WEBM format ina sauti - Hapa bado sijaelewa kama tatizo IDM au ni Site Husika. , Hili ni tatizo la siku chache zilizoita.