hang'olwa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2013
- 538
- 196
kwenu wakuu, nina laptop yangu aina ya acer, ambayo mwanzo nilikuwa naangalia youtube fresh ila nilimpelekea jamaa mmoja akaniongezee software flani flani, baadae kaniwekea na idm kaniambia naweza kurekodi video, shida kwa sasa ina leta maandishi kwa has been blocked for fake serial no, kwa hiyo sifanyi chichote, nifanyeje niweze kudownload movies na music,
Asanteni sana.
Asanteni sana.