wadau, nimepitia thread kadha wa kadha kwenye hili jukwaa zinazohusu IDM na nimefanya kama maelezo yanavyosema kwenye kuinstall, lakini nikidownload inaniambia idm is registered with fake serial, and it is blocked, ingawa nimefuata procedures za kuinstall ili ujumbe ule wa fake serial usitokee tena, naomba msaada wenu jaman, nikifuata procedures hizohizo kwenye pc ingine inafanya kazi
msaada wataalam