Nyie na ndugu zako ndio mmefikisha nchi hapa ,😂sasa angalia watu wanashika nanga unaona maendeleo haswa ya miundombinu inaanza ....Asilimia kubwa ya mafisadi papa wanaoitafuna nchi na kuirudisha nyuma ni kutoka hiihii imani ya kina Hamas.
Wao ndio wameharibu uchumi wetu kwa wizi, ufisadi na ukwapuaji wa kutisha.
Tafiti za uhakika zimethibitisha.
adriz Ritz Accumen Mo Malaria 2 incharge Adiosamigo Granta ITR Bravo Mike
Msumari wa motoAsilimia kubwa ya mafisadi papa wanaoitafuna nchi na kuirudisha nyuma ni kutoka hiihii imani ya kina Hamas.
Wao ndio wameharibu uchumi wetu kwa wizi, ufisadi na ukwapuaji wa kutisha.
Tafiti za uhakika zimethibitisha.
adriz Ritz Accumen Mo Malaria 2 incharge Adiosamigo Granta ITR Bravo Mike
Umepata sababu ya kuhama kwenye mada. Mada ni IDF ipo ndani ya Alshifa hosp.Nyie na ndugu zako ndio mmefikisha nchi hapa ,😂sasa angalia watu wanashika nanga unaona maendeleo haswa ya miundombinu inaanza ....
Eti elimu ila hamna jipya huyo Mramba na wengine ndio walipeleka maji na umeme huko migombani kwa upendeleo na kuacha potential areas za kiuchumi kisa ukabila wao....Nyie mmerudisha nchi nyuma na huo usomi wenu wa kuiba mitihani hamna jema ndani ya miaka 60.😂
Soma jamaa alivyoquote usikurupuke kijana wa kitanzania hujui chochote...Soma Maghayo kaandikajeUmepata sababu ya kuhama kwenye mada. Mada ni IDF ipo ndani ya Alshifa hosp.
Sasa umejua wale walikuwa wanapigana na IDF kando ya hosp siyo wagonjwa, madaktari na manesi, bali ni magaidi yaliyojificha kwenye mashimo chini ya ardhi ya hosp hiyo.
Watoke tu japo kujisalimisha kutaka moyo.
Hao mateka wengi wao wameshauuliwa ,hakuna haja ya kusimamisha vita.
Nadhani,nasema tena nadhani hata ile miili 170 iliyofukiwa kwenye kaburi la pamoja , katika eneo la hospitali itakuwa ni baadhi ya hao mateka.
Israeli fake propagandaJeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.
IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.
Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.
Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.
Muisrael mweusi wa Njombe anaumwa UTI anatamba.Tandika kabisa magaidi hayo! Hakuna Cha huluma ni mwendo wa kipondo kwa yeyote atakae katiza mbele. Mamamamaeeee!!!
Ktk nchi hii tawala za hamas ndio zimeleta maendeleo kuliko hao VaticanAsilimia kubwa ya mafisadi papa wanaoitafuna nchi na kuirudisha nyuma ni kutoka hiihii imani ya kina Hamas.
Wao ndio wameharibu uchumi wetu kwa wizi, ufisadi na ukwapuaji wa kutisha.
Tafiti za uhakika zimethibitisha.
adriz Ritz Accumen Mo Malaria 2 incharge Adiosamigo Granta ITR Bravo Mike
Kama hujui hao Vatican ni matajiri kupindukia ukiacha mwl. TuAsilimia kubwa ya mafisadi papa wanaoitafuna nchi na kuirudisha nyuma ni kutoka hiihii imani ya kina Hamas.
Wao ndio wameharibu uchumi wetu kwa wizi, ufisadi na ukwapuaji wa kutisha.
Tafiti za uhakika zimethibitisha.
adriz Ritz Accumen Mo Malaria 2 incharge Adiosamigo Granta ITR Bravo Mike
Hii nchi imepata uhuru mwaka 1961 toka huo mwaka sasa serikalini mmejaa Wakirsto watupu kila wizara wamejaa wagalatia na ndiyo wanajitapa wasomi hao ndiyo watufikisha hapa kwenye umasikini mkubwa.Asilimia kubwa ya mafisadi papa wanaoitafuna nchi na kuirudisha nyuma ni kutoka hiihii imani ya kina Hamas.
Wao ndio wameharibu uchumi wetu kwa wizi, ufisadi na ukwapuaji wa kutisha.
Tafiti za uhakika zimethibitisha.
adriz Ritz Accumen Mo Malaria 2 incharge Adiosamigo Granta ITR Bravo Mike
Israel hua hawajadiliani na watu wanaowaita magaidi, ndio sera yao.Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao.
IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa kuwapeleka Israel kupata matibabu.
Kuna uwezekano kuwa mateka wapo Chini ya Handaki pamoja na Viongozi wa Hamas akiwemo Yahya Sinwar. Hamas walikuwa wameomba mapigano yasitishwe kwa siku tano na waweze kuwaachilia mateka 70, ila inaonekana Israel hawataki Hilo Jambo.
Al Shifa imekuwa ndio ngome ya mwisho ya mapigano, ndio maana IDF wamewaomba Viongozi wa Hamas wajisalimishe.
Nyie si mnapenda maulidi kuliko shule? Si mnapenda sana liwati kuliko elimu? Si unaona mama enu Samia nahangaika kuokoteza watu huko Bwakwata na Shura ya maimamu bado hapati inabidi arudi kwa wagalatia?Hii nchi imepata uhuru mwaka 1961 toka huo mwaka sasa serikalini mmejaa Wakirsto watupu kila wizara wamejaa wagalatia na ndiyo wanajitapa wasomi hao ndiyo watufikisha hapa kwenye umasikini mkubwa.
Wagalatia wenyewe hawajasimama wanaendelea kukimbia sasa watawafikiaje?Nyie si mnapenda maulidi kuliko shule? Si mnapenda sana liwati kuliko elimu? Si unaona mama enu Samia nahangaika kuokoteza watu huko Bwakwata na Shura ya maimamu bado hapati inabidi arudi kwa wagalatia?
Itaqachukua miaka 200 muwafikie wagalatia kwa shule.