Ideos za Android, laki na nusu mpya na I phone 3gs

Ideos za Android, laki na nusu mpya na I phone 3gs

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
247
wadau mzigo umeingia laki na nusu pata ideos mpya application android ...
pia na I phone 3gs laki 3.5
na I pad two na 3 bei maelewano
karibuni
 
mkuu ideos si zinafahamika just google kaka au ni pm nkuemail
 
mkuu ideos si zinafahamika just google kaka au ni pm nkuemail
we unaambiwa na wateja unaleta makuu, hujui mteja ni mfalme? angekuwa anashida ya kugoogle si angefanya hivyo, kwanini amekuuliza?

weka picha ungekuwa unahitaji kufanya biashara kwa emails ungewatumia watu emails au ungewapm na siyo matangazo madogo madogo.
FUATA MATAKWA YA WATEJA.

we yanakuhu nini hebu timua kiroho safi kabla sija ku. ....
 
wadau mzigo umeingia laki na nusu pata ideos mpya application android ...
pia na I phone 3gs laki 3.5
na I pad two na 3 bei maelewano
karibuni
Interested with iPads tafadhali, zina-range ngapi hadi ngapi? I mean minimum na maximum ni ngapi?
 
0717031779 nicheki bas janja kama una bb za hivo pia. Fastaaaaaaa
 
Janja nicheki bas hewani nataka? 0717031779 kama ipo offair hata sms itawork.
 
Back
Top Bottom