Identity zimeokotwa za polisi

Identity zimeokotwa za polisi

Kuna askari somebody mahimbo kadi zake zimeokotwa.. Anatemjua ani pm

Fanya hivi, ziweke kwenye bahasha na nenda posta tuma kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani au IGP wa Polisi. Lakini usiseme wewe ni nani na wala usiweke address yako
 
Fanya hivi, ziweke kwenye bahasha na nenda posta tuma kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani au IGP wa Polisi. Lakini usiseme wewe ni nani na wala usiweke address yako

This is good idear
 
Na polisi walivyo na hasira sasa hivi. Kwa nini unaokota vitu ukikuta barabarani, mama yako hakukukatazaga?
 
Kuna askari somebody mahimbo kadi zake zimeokotwa.. Anatemjua ani pm
Mkuu, huyo Mahimbo hana first name? au any initials?. kwenye hivyo vilivyookotwa. Unasema anaemjue askari somebody Mahimbo aku-pm!. Hivi unafikiri kuna Mahimbo wangapi katika jeshi la polisi?. Next time ukiokota chochote report kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.
 
Du, ama kweli
polisi wamechokwa!! Ukiongeza na uporaji waliofanya Mtwara, napata
mpasuko wa roho!

polisi nawashauri japo kuna watu huwa wanapotea na wengine kupoteza vyeti na hati mbalimbali na kuhifadhiwa vituoni mwenu, acheni mtindo huu raia hawana shukurani kabisa na wakivamiwa waambieni hamna mafuta wapambane kivyao raia hawana shukrani hawa
 
Nakushauri kazilipotishe polisi usihofu kama umeziokota waa hao wasikuogopeshe
 
Back
Top Bottom