Identifying mchumba


JIBU NI MOJA , MAOMBII


man-praying.jpg
 
kaka Mpevu, habari ya kazi,

kk unajua habari ya kutafuta mwenza si ya kuja kuuliza hapa jamvini, utafute uso wa Mungu naye atakusaidia. Mali na pesa mtu hupewa na baba yake bali Mke mwema mtu hupewa na Mungu (Mithali nimeusahau Mstari) pia Mithali 18:22 yasema Apataye Mke apata kitu chema, Naye atajipatia kibali kwa BWANA

Kitu chema hiki hakiwezi kuwa chema kama hakikutoka kwa Mungu, si baba yako wala mama yako, rafikiyo, mjomba atakaye kupa Mke bali ni Mungu. Ndugu yangu Utafute Uso wa Mungu kwa bidii nawe utauona na kupata faraja. Maana ukipata mwanamke mpumbabu Mithali 11:22 inasema Kama pete ye dhahabu katika pua ya Nguruwe; Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili

Kaka Jina La Bwana ni Ngome Imara Mwenye haki huikimbilia akawa salama (Mitha 18:10) Mungu ndio kimbilio lako, sasa hivi, na utakuwa salama kabisa kwani utapata mke Bora kwake

Soma hii kwa makini sana (Mithali 6:20-35, Mithali 7:1-27) Anza na hapa kupaweka sawa kwani ndo kuna mitego mikubwa sana hapa, wengi huingilia maisha ya Ndoa kwa Gia hii wakapata fadhaa maishani mwao! Mtego umemaliza wengi

Piga Goti, funga MUngu akusaidie, kwani Mungu aweza sema na wewe kupitia watu, Shetani pia asema nawe kupita watu so hutaweza kuju ni nani anayesema kama hauko vizuri rohoni.... Tengeneza mambo yako kwanza

Nakutakia maisha mema na mafanikio katika safari muhimu katika maisha yako

Thanks
Kiresua, Bwana Yesu asifiwe. Mungu akubariki kwa mahubiri yako. Endelea kuieneza injili wana JF waokoke. Amen
 
Ahsante sana kwa mchango wako,
I truly value your constructive contribution and will HIGHLY consider, ahsante kwa angalizo lako jema.

mpev,unaweza pewa lundo la vgezo,bt ucfanikiwe,jtaid kumuomba mungu ktk michakato yako umpate manzie wa kweli,tena uwe unaamka at mid9t
 
Wanajamii,
Nafikiria kuwa na mwenza wa baadae kuitwa 'mamsap', lakini nashindwa kubaini ni namna gani ya kumtambua mjenzi wa kweli.
Maana dadaz yaani hata hujafikiria kwamba UNAMTAZAMIA...basi ameshaelekea kuolewa na wanapretend ile mbaaaaya.
NISAIDIENI ZILE AREAS to focus na ikiwezekana basi shortlisted ya maombi yatapokelewa.
a shot in the dark... just do what u r woth of.. A MAN..!Don b a woman in pants!!:sleep::sleep:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom