October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Asante je kwa watu watano ni sawa na M 2.5 inaweza tosha kwenye kilimoAnza na mradi mdogo tu ndugu utakao weza chukua watu watano tu... Mana watu kumi kukaa pamoja sio jambo dogo
Iyo M5 kuipata ndio mbindeTafuta M5 uje nikuonyesha Chakufanya.
NB. Uwe serious.
Iyo M5 kuipata ndio mbinde
Mkuu hebu tuyajenge mzee mwenzangu hiyo issue nin
The list bilashakaNjoo pm haraka Sana, kuna sehemu nataka kwenda kwahiyo nahitajia ku log out.
The list bilashaka
mmh nilisema mie kumbe sijakoseaUkiambiwa ww ni empty set utakata? Nipe ushahidi wa kuwa mm ni huyo uliye mtaja.
Mawazo kama haya ndiyo ninayo yataka, unaweza kuniambia laki tano inatosha vipi nikwa ninaishi mjini sina ata shambaWewe ndie haujaamua kufanya hicho kilimo unachokisema.badala ya kutafuta vijana10 wakajichanga 500000 kila mmoja,kwanini usichukue hiyo 500000 utakayochanga na wenzako ukaiwekeza kwenye kilimo wewe kama wewe sababu hii hela inatosha sana kwa mtaji wa kuanzia! Changamka kijana acha kukaa kuwaza nyanyuka ukafanye kwa vitendo unachowaza!
Mawazo mazuri mkuu nashukuru kwa maelezo yakoUnajadili Kilimo.ukwa wapi mkuu?
No one will trust your Idea Except you.
Yaani ukiona mtu ana saport wazo lako basi ogopa sana.
Kwa Idea yako ya Kilimo unapaswa kuanza na kile ulicho nacho mkononi mwako.
MUSA akiwa na wana wa Isaraeli aliulizwa na Mungu una nini MUSA?
MUSA akajibu nina fimbo, hivyo MUSA alikuwa na fimbo tu.
Sasa wewe una nini? usisema una Idea..Idea hata wanayama wana Idea achilia mbali binadamu.
Anza na kile ulicho nacho mkononi mwako.
Time is now, ukisema usobili sijiu watu waje kuchanga utasubili sana.
Anza na watu watakufuata wewe, watakutafuta wewe
Shukrani kiongozi. Nimepata funzo kubwa sana hapa.MUSA akiwa na wana wa Isaraeli aliulizwa na Mungu una nini MUSA?
MUSA akajibu nina fimbo, hivyo MUSA alikuwa na fimbo tu.