Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 559
Mbali na salamu za ramadhan, ujumbe wa amani & kisiasa pia umefikishwa kisanii.Bonge la nasheed... on loop
Hawa Impersonators wamehusika vyema.Daahh huyo kim ndo usiseme copy and paste
It's such a powerful Peace Song indeed.I am a Christian.. But, but,this is one of my best, best, best, best of the best ever clip in 2018. I hope Trump, Putin, Merkel, Kim, all will see this strong ever message. What a song & message?
Ila Palestine ina Miji mikuu miwili mkuu, Jerusalem na Tel Aviv...ila hapa ameutaja mmojaWimbo mzuri ila wamechanganya SIASA baada ya kusema JERUSALEMU ni capital city ya PALESTINE.
Hii inaondoa maana ya ujumbe wao.
Tafuta xyz show ya bwana gado,anatumia vikaragosi vya viongozi wote wa afrikaTazama video hii ya kibiashara ya mtandao wa Zain kuhusu Ramadhan yenye ujumbe ambao umeitoa dunia machozi (hususani Mashariki ya Kati) kuna scenes walizoigizwa Trump, Putin, Angela Markel, na Kim Jong Un.
Hizi plastic mask/effects zilizotumika kuwawakilisha Marais mbalimbali duniani hivi hatuwezi kupata za Marais wetu wa Africa kama baba wa taifa, Kagame, Magufuli, Mandela, Mugabe tukafanya kitu?
Zain buana!!Tazama video hii ya kibiashara ya mtandao wa Zain kuhusu Ramadhan yenye ujumbe ambao umeitoa dunia machozi (hususani Mashariki ya Kati) kuna scenes walizoigizwa Trump, Putin, Angela Markel, na Kim Jong Un.
Hizi plastic mask/effects zilizotumika kuwawakilisha Marais mbalimbali duniani hivi hatuwezi kupata za Marais wetu wa Africa kama baba wa taifa, Kagame, Magufuli, Mandela, Mugabe tukafanya kitu?
XYZ naipata ila sio kama Plastic face za ImpersonatorsTafuta xyz show ya bwana gado,anatumia vikaragosi vya viongozi wote wa afrika
Hapo ndo kuna shida. Waislam wanalazimisha Israel waonekane hawana kwao. Wachome nyaraka zoteWimbo mzuri ila wamechanganya SIASA baada ya kusema JERUSALEMU ni capital city ya PALESTINE.
Hii inaondoa maana ya ujumbe wao.
Nadhani hujaelewa kitu, anataka dunia itambue kuwa Jerusalem, ni jiji la Palestine, Israel haipaswi kuwepo pale.Ila Palestine ina Miji mikuu miwili mkuu, Jerusalem na Tel Aviv...ila hapa ameutaja mmoja
I am a Christian.. But, but,this is one of my best, best, best, best of the best ever clip in 2018. I hope Trump, Putin, Merkel, Kim, all will see this strong ever message. What a song & message?