Idea ya biashara

Idea ya biashara

nicholas john

Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
27
Reaction score
0
Za saa hizi wana jf,naomba msaada wenu wa idea ya biashara ya kufanya ambayo haitahitaji usimamizi mkali kwani mimi ni mwanachuo nipo mwaka wa mwisho hapo ifm.Nina mtaji wa shilingi milioni moja ninaishi kigamboni dar.Nawatakia siku njema.
 
nitafte 0658825141 kuna idea za biashara nyng sana.
 
jamani huu ni undgu gani sasa,embu tajeni idea na zitusaidie sote au mnataka watu wachaceh wafanikiwe???
 
O713979798 inside of month you can make a profit wch ll b equa value wth ur capital
acha uswahili wewe kiinglishi chenyewe umevunjavunja, andika kiswahili tu. kama una iadia weka hapa so watu wengi wafaidike ndio maana hapa pakaitwa jamii forum, im sure na wewe umefaidka na aidia kibao za watu generous humu.
 
kaka kuna idea nyngne haziandiki ila nlitaka kumshauri wazo zur coz yeye ni mwanachuo na bla shaka anataka hela ya kula kila cku angenunua pooltable la laki 6 au 7 akalitaftia pa kuliweka pale kgamboni minimum income ya pooltable ni elf 10 halihtaji yeye kuwepo labda kama atachezesha kamali ambapo ataingza zaidi ya elf 30 kwa setting nzuri ya pooltable na ushauri zaidi anipgie kwa 0658825141 nimwelekeze zaidi
 
We utakuwa mganga wa kienyeji wewe. Kwa hiyo akikupa hizo mil 1 atapata mil100 au?

ckulaumu akili zako fupi zimeishia kufikiri kuhusu hlo! 'Mwisho wako wa kufikiri ndo mwanzo wa matatizo yako'.
 
kama hana aibu pia anaweza kununua robota la nguo za kike laki 3 akawa anauza kila nyt! Akirudi chuoni.
 
fungua kibanda cha kuuza vucha za simu ne upate uwakala ta tigo pesa,m pesa na airtel money inalipa ile mbaya
 
Nilikuwa serious,nimeshindwa kukupm coz natakiwa niwe na post 5 kuweza fanya hivyo
 
Pia nilikuwa na idea ya kutafuta baa ambayo nitaweka nyama choma na kuku choma,ikiwezekana niweke na chipsi kabisa.Tatizo linalokuja kunisumbua tena hapo ni location na kama ni bar inatakiwa ambayo inawateja wengi zaidi.
 
fungua kibanda cha kuuza vucha za simu ne upate uwakala ta tigo pesa,m pesa na airtel money inalipa ile mbaya

kweli hii kitu nasikia inalipa!ila hadi upae hizo sijui wanaita TILL lazima huo mtai utakuwa umebaki robo!nasikia tigo line inauzwa hadi 1m sasa mtaji si utaishia kununua hiyo line tu!
 
Kuwa makini watu watakutumbukiza ktk online business,usijarib utaliwa.
 
Mzigo waliokamatwa nao wakina agness masogange unalipa sana na sio kesi,ngoja afande kova aje akuekeze cha kufanya,ila ushauri wng mie kwa mtaji huo biashara ya, chips itakulipa,tafuta location nzuri tu
 
Back
Top Bottom