Idea kuu, Bila watu kubadili Mindset ni vigumu sana kutoboa kwenue Ujasiriamali

...Swala la mafanikio ni swala LA mtu binafsi but utakua unajidanganya kwa kuamini kwamba unaweza kufankiwa bla ushirikiano na wengne..

Hii statement cjui nliyonaga wapi
 
Katika Maisha Haiko Hivyo, Biashara Nyingi duniani sio za ushirika , kuhusu mitaji ,hakuna nji ya mkato lazima ujitoe haswa kutafuta maarifa ya utafutaji wa mitaji, ukianza biashara, watu wenye mitaji watakuja kukujoin,biashara inahusisha roho ya mmiliki, si Mungu aliyesema ilipo hazina yako ndipo roho yako ilipo? . tazama kampuni kubwa zote duniani, hasa zilizopo silcon valley, utagundua biashara ni kujito hasa, personally, tazama NIKE ilivyoanza, tazama mengi, jack ma nk, lazima uanze chini, ukubali kukesha ukipanga mikakati, ushinde njaa, ndipo utatoka,kigroup hakuna, tazama twiga foods walivyoanza na sasa walipo, mitaji ipo mingi tu, huwezi kuipata kwa kutengeneza ushirika tu, lazima biashara isimame,
 
Katika Maisha Hakuna Hivyo, Biashara Nyingi duniani sio za ushirika , kuhusu mitaji ,hakuna nji ya mkato lazima ujitoe haswa kutafuta maarifa ya utafutaji wa mitaji, ukianza biashara, watu wenye mitaji watakuja kukujoin,biashara inahusisha roho ya mmiliki, si Mungu aliyesema ilipo hazina yako ndipo roho yako ilipo? . tazama kampuni kubwa zote duniani, hasa zilizopo silcon valley, utagundua biashara ni kujito hasa, personally, tazama NIKE ilivyoanza, tazama mengi, jack ma nk, lazima uanze chini, ukubali kukesha ukipanga mikakati, ushinde njaa, ndipo utatoka,kigroup hakuna, tazama twiga foods walivyoanza na sasa walipo, mitaji ipo mingi tu, huwezi kuipata kwa kutengeneza ushirika tu, lazima biashara isimame,
 
Exactly upo sahihi mkuu.

VIKUNDI ndio njia nyepesi na pekee, kwa kaya maskini kutoka kibiashara. Ila bad enough, bado watanzania walio wengi tumetawaliwa na dhana ya UMIMI (kila mmoja anataka kusimama yeye kama yeye). Normally ni uongo, hatuwezi kufanya hivyo, na yote ni kutokana na hali zetu za kiuchumi kuwa DUNI.

Honestly inatupasa tubadilike, kwenye hili.....hakika tutafika mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania na Tatizo la ubinafsi linakuwa kwa kasi ya 4G. Yani biashara hata ya kawaida tu mkianzisha kama patners ikaanza kusimama vizuri lazima after sometime lazima atokee mtu ajione kama yeye ndio anafanya kazi sana kwahio atademand alipwe zaidi. Yani hamnaga ile harmony ya kuwa tunajitoa kufanikisha swala flani kwa pamoja, lazima hela ikianza kuingia utokee ugomvi ule umoja uvunjike thus why naonaga bora kusimama mwenyewe tu.
 
Pia Tamaa, Tunakos uvumilivu kabisa kabisa. angali life wanao ishi wachina mtaani hata Dar, wanaishi kwenye viwanda vyao. lakini wanajua wanacho kifanya na ipo siku watamili majumba makubwa na watahama viwandani.

Kuzungukana kupo sana. mnaanzisha Mradi wa Kuku lets say Kuku wa nyama. kati yenu kuna anaye anzisha mradi kama huo huo kisilisili ili aww anapiga kupitia umoja. hii ni mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tabia ya kishoga ya wabongo. Yani kuna hali flani ya tamaa na kukosa uaminifu. Kuna mmoja lazima atajifanya anaijua hela sana kuliko wenzie na ndipo hapo biashara za vikundi zinapotushinda. Inahitaji watu smart sana kuanzisha biashara ya kikundi!
 
Tatizo wabongo wengi hawapendi mawazo ukimwambia tushirikiane tufanye hichi hataki wengi wanapenda kuingia kwenye biashara na kuanza kupiga hela
 
Watanzania na Tatizo la ubinafsi linakuwa kwa kasi ya 4G. Yani biashara hata ya kawaida tu mkianzisha kama patners ikaanza kusimama vizuri lazima after sometime lazima atokee mtu ajione kama yeye ndio anafanya kazi sana kwahio atademand alipwe zaidi. Yani hamnaga ile harmony ya kuwa tunajitoa kufanikisha swala flani kwa pamoja, lazima hela ikianza kuingia utokee ugomvi ule umoja uvunjike thus why naonaga bora kusimama mwenyewe tu.
Nazani inashauliwa pia mnapo anza biashara kama patners muweke wazi kabisa kwamba nani atakuwa kiongozi wa biashara husika pia sio kila mtu yaan ilimlad mnafhamian then mnakuwa patner naza sio healthier kwa biashara

Lingne pia nina mwalimu ambaye once aliniambia the most important product duniani ni watu unachotakiw kukifnya ww kma entrepreneur ujue how to read them to lead them pia to deal with them maan w/out them sio lahc kufankiw kibiashara

are just my thought
 
Noted watu kama nyie natafuta sana kukaa karibu nanyi namimi nipate madini kama haya barikiwa sana.
Kuna concept si mpya kibiashara lakini ni mpya kwetu waTz, inaitwa Synergistic Results, hii concept inahamasisha umajmui ktk kufanya biashara kutokana faida za mjumuiko wa kufanya vitu pamoja, hii dhana inasema hivi 1+1+1> 3
Yaani kwa kawaida 1+1+1=3 lakini wataalamu wa biashara wanasema ktk synergy 1+1+1 ni zaidi ya 3
Nitatoa mifano hapa
A)Watu 3 wenye mtaji wa 30m kila mmoja wakifanya bness watakuwa na mtaji wa 90m
B)Mtu 1 akiwa na mtaji wa 30m mtaji wake utakuwa hivyo hivyo 30m
Chukulia wote wanafanya biashara ya duka la nguo kariakoo
Woote A na B wanalipa pango 300k kwa mwezi
Muangalizi duka 150k kwa mwezi
Leseni 300k kwa mwaka
Tra 600k kwa mwaka
Furniture + shelves 1m
Usafiri + umeme + mawasiliano 150 kwa mwezi
Chukulia kwamba Gross Profit au faida ghafi kwenye biashara yao ni 35% na mauzo yatakuwa makubwa proportion/ kulingana na mtaji hivyo kama biashara B anauza 3m biashara A atauza 9m mahesabu yao yatakuwa kama ifuatavyo kwa mwaka

B Business(sales 5m kwa kila mwezi)
Mauzo 60.00m
Manunuzi 39.00m
Faida ghafi 21.00m
Toa gharama
1.M/kazi 1.80m
2.Pango 3.60m
3.Leseni 3.60m
4.Tra 7.20m
5.Umeme 1.80m
6.Furniture1.00m
Total___________19.00m
Faida__21-19_____2.00m kwa mwaka

A.Business(Sales 15m kwa kila mwezi)
Mauzo 180.00m
Manunuzi 117.00m
Faida ghafi ______ 63.00m
Gharama
1.M/kazi 2.40m
2.Pango 3.60m
3.Leseni 3.60m
4.Tra 10.80m
5.Umeme 1.80m
6.Furniture1.00m
Total ___________22.20m
Faida___________40.80m

Kuna gharama zimeongezeka kwenye Business A kama Tra na malipo ya mfanyakazi na hii ni kwa sababu ya volume ya business ni kubwa ukilinganisha na B

Ukitaka kulinganisha
Faida kwa kila mmoja
Wa partners=40.80m÷3 ambayo ni = 13.60m Hii ina maana kwamba yule wa business B angetafuta partners wenzie wawili na yeye angeweza enjoy faida kama hiyo hapo juu
Sasa ukihesabu Synergy effects 13.60m(A)÷2.00m(B)=6.8

Sasa tutaona ktk muktadha huu 1+1+1 =6.8

Nimechunguza top 10 big business za Tz ktk hizo kuna 5 Family Businesses ambao unakuta kila Family ina members zaidi ya 4 woote wanaishi sehemu moja different houses na kila jioni wana kitu kinaitwa "Ramsa" = post/pre dinner family gathering or meeting. Hawa watu wana digest matukio ya siku nzima jinsi biashara zao zilivyokwenda
Ni rahisi ktk gathering kama hiyo member mmoja akashare na wenzie changamoto alizokutana nazo Wizarani, Bank, Bandarini, Ubalozini au Tra na akapata solution immediately

Nafikiria mbali saana Bank kama Nmb imenunuliwa na Rabbo bank ambayo ni benki ya ushirika wa wakulima wa Uholanzi
Hivi kama vyama vya ushirika wa wakulima wa Kahawa + Korosho + Chai+ Pamba + Karafuu vingekuwa vimekaa sawa wangeshindwa kuinunua kweli na kuiendesha profitably

Niko nchi moja hapa middle east hapa nilipo kampuni zinazouza fresh milk ni 2 tuu quality iko vizuri saana na bei ni reasonable. Kanuni ya kiuchumi ktk nchi kama hii ni kwamba wafugaji/wazalishaji wadogo wadogo wenye Ngombe hata 200 hawawezi ku survive na hiyo iko hata kwenye Mayai

Juzi tumeona kwenye news kuna mtu Mh. Mansour amefungua mradi mkubwa wa uzalishaji wa Mayai ambao utalisha mayai kanda ya ziwa yoote jamaa anahitaji sio chini ya tani 6,000 za mahindi kwa ajili ya chakula cha kuku wake(kama sijakosea)kila mwezi na ameomba wananchi waungane ili waweze kulima mahindi kukidhi mahitaji yake

Hapo kuna funzo kubwa sana

Duh hizo calculations mpk kichwa kimeuma sema nitarudia tena kusoma ili nielewe vizuri
 
Back
Top Bottom