Iddi Mubarak ....Karibuni nyumbani

madame umenikumbusha mbali sana..dizain zetu hizo uswahilini! Huku hakuna self service! Ni mwendo wa kugombea,speed yako ndio itakushibisha🙂
 
Last edited by a moderator:
madame umenikumbusha mbali sana..dizain zetu hizo uswahilini! Huku hakuna self service! Ni mwendo wa kugombea,speed yako ndio itakushibisha🙂
msikititi wa moa na kalali kule lyamungo na machame miaka ya 90 nikisoma lyamungo sec ,,,tuliienjoy sana..:spy:
 
Hapo siyo pa kukosa, hizi bahati ni marachache kutokea,nakuja sasa hivi direction nitajua mbele ya safari
 
umeamua kututamanisha au unamaanisha? tupe direction
 
Aiya weee!nimechelewa kuingia jf leo,laiti ningesoma uzi wako leo,na kwa jinsi bwabwa lilivyo jingi,ningekuja na wanangu na mzee wangu!nisingeingia hasara ya kupika chakula kwangu,ningeeka cha kesho!
 
Pilau yenyewe haijaenda shule imebaniwa viungo! Pilau sheria yake inatakiwa kua GOLD!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…