Iddi Hamidu kashindikana asifananishwe na yeyote

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,494
21,269
Naona mara kwa mara watu wamekuwa wakiwashindanisha "Mtoto Iddi" -------Sir Nature na "Selemani" ---------Mboso kwamba nani zaidi.

Achaneni kabisa na huyo mtoto Iddi ameshindikanika kabisa huyu mtoto. Miongoni mwa visa vyake na mikasa.

  • Kumkata makonde baba yake mzazi ni jambo la kawaida sana.
  • Ana kesi kadhaa za mauaji.
  • Ana kesi kadhaa za wizi sio chini ya 26 na kila akipelekwa polisi anatoka mpaka wananchi wakamuwekea mtego maana walikuwa wameshamchoka.
  • Ni tapeli aliyekubuhu .
  • Akienda na pesa baa hakubali kuingia hasara kurudi mikono mitupu atatega mingo asubiri watu walewe awaibie kirahisi.
  • Ni bingwa wa kupenya madirishani kuiba .
  • Mlevi ,mvuta bangi.
  • Mgomvi mgomvi.
  • Amepigwa mapanga mara kadhaa lakini bado habadiriki.
  • Sura yake inatosha sana (sura kibandidu) ukimuona tu huulizi mara mbili mbili kama dogo ni mtu wa matukio .
Kesi mahakamani kwake ni kawaida sana. .

Tuje kwa huyo Selemani
  • Mvuta Shisha
  • Mvuta mirungi
  • Mvuta bangi
  • Mlevi
  • Kuwadi
Kupenda kujipost post akiwa viwanja.

😂😂😂😂😂😂😂Sasa watu hawa mnawafananisha vipi?

Sele huyo ni mdananda tu hana maajabu asilinganishwe kabisa na mtoto mtukutu Iddi Hamidu

1696587001107.jpg
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom