Jamani wana jimbo la kinondoni tusaidiane hapa, Hivi huyu mbunge wetu wa kinondoni kazi yake ni nini? Maana maadui ujinga umasikini na maradhi vinazidi kutanua mbawa katika jimbo letu alafu yeye anakula raha na sie tunabaki bila ya mwakilishi na mtetezi wa matatizo yetu
Kwani aliwaahidi nini? sialiwauzia sera za chama chake, mkazielewa na mkamchagua? natumai anachagiza nakusimamia ilani ya chama chake hapo jimboni kama mlivyo kubaliana!
Hivi si nae ni mwenyekiti wa bunge?naonaga akikalia kiti cha speaker wabunge huwa wanaufyata,hawaleti maneno mingi kama akikaa spika au naibuspika.
Sijui kwa sababu gani
Hivi si nae ni mwenyekiti wa bunge?naonaga akikalia kiti cha speaker wabunge huwa wanaufyata,hawaleti maneno mingi kama akikaa spika au naibuspika.
Sijui kwa sababu gani