Idd njema wote

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,213
Kwa wale wasoma vitabu vya dini mnamkumbuka ibrahim
mnajua alitaka kumfanya nini mwanae issaka...mnajua nini kilitokea
basi yawezekana ndugu una matatizo mengi sana...yawezekana unamtikisiko wa ridandas ofisini mwenu ufanyi kazi kwa amani kabisa...yawezekana uko na mtitkisiko wa ndoa.....kaa tayari kupokea malaika aliemjia ibrahmu na kumwokoa isiaka....yuo karibu na wewe muda wowote anakuja kwako kukondolea matatizo uliyonayo
Nwatakia
IDDI NJEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…