Masikini Jeuri
Member
- Jan 13, 2008
- 37
- 4
- Thread starter
-
- #21
kwa akili zangu ndogo nadhani mapigano yao ni ya mahusiano kwani zamani walikuwa wakionekana pamoja sasa iweje leo wanagombana kiasi hiki
Sijamjua dairekta wa episode hii
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?

<br />Sijamjua dairekta wa episode hii
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?
- Hivi ndivyo watawala wote duniani wanavyotaka, wananchi walalahoi kuacha kujadili ishus muhimu kuhsu maisha yao, na kujadili watu, it always give them another day of rest!
William @ NYC, USA.

cha ajabu nini hapo?
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?
Sabodo alisaidia chadema wazi kabisa kifedha, hamna aliyelalamika, Shyrose kasaidia kama alivyosaidia hatujui kimwili, kiroho au kimapenzi, inakuwa tabu, kwanini wasimshambulie Sabodo aliyeita waandishi kabisa na kutoa msaada?Shyrose CCM anasaidia CHADEMA...