Napenda vyeo alivyojipa Amin
Na ubabe wake wote alikuwa kuitwa DADA?
Dada ilikuwa ni Jina la Ukoo sio sister Kama Vile Mabere marando ukitafsiri ni Maziwa matembele
hata kama ni ukoo duh (hebu niambie kidogo kuhusu mabere marando alikuwa anatumia sana maziwa na marando?
Woooow asanteee sana japo Kambarage kama sikosei ni mvua zenye upepo mkali na mawe kama sijakosea.Ni Majina tu Kama vile Ally Hassan Mwinyi kabla ya kwenda Jando alikuwa anaitwa Nzasa kwa maana ya Mto usiokauka Maji na Mwenyewe kwny birthday ya kutimiza Miaka 90 alituchekesha kwa kusema Jina Hilo liliakisi ukweli mpaka hapo alipofika hakuwahi kupata msukosuko wa Rizki tangu anazaliwa 1925 na akamshukuru Allah kwa kumpa neema hiyo adimu!
Nyerere nae aliitwa Kambarage Lina maana yake japo sijui maana yake lile la Julius alilipatia Shule ( Tabora boys) likiwa ni la Mwalimu wake Mwingereza!
Una utani na mabere weweDada ilikuwa ni Jina la Ukoo sio sister Kama Vile Mabere marando ukitafsiri ni Maziwa matembele
Akawa kama jaji werema? Mana kafanana na aliyekua Mwanasheria mkuu Fred WeremaMbona alikuwa mtu poa tu sijui nini kilimpata akabadilika vile!
Mkuu wewe una asili ya mkoa wa Pwani.Ni Majina tu Kama vile Ally Hassan Mwinyi kabla ya kwenda Jando alikuwa anaitwa Nzasa kwa maana ya Mto usiokauka Maji na Mwenyewe kwny birthday ya kutimiza Miaka 90 alituchekesha kwa kusema Jina Hilo liliakisi ukweli mpaka hapo alipofika hakuwahi kupata msukosuko wa Rizki tangu anazaliwa 1925 na akamshukuru Allah kwa kumpa neema hiyo adimu!
Nyerere nae aliitwa Kambarage Lina maana yake japo sijui maana yake lile la Julius alilipatia Shule ( Tabora boys) likiwa ni la Mwalimu wake Mwingereza!