Idd Amin Dada

Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,791
3,234
KUMBUKUMBU YA VIONGOZI WA AFRIKA

Pichani ni aliyekuwa Rais wa Uganda Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular

Katika picha kubwa Idd Amin Dada akiwa na mkewe Mariam mwaka 1961.

Source: Dar24 Facebook Page
1477585963449.jpg
 
Kipind yupo kijana alikuwa mtanashat kumbe na mkewe mzurii
 
Dada ni nick name wakati akiwa Dar alikuwa akiona msichana mzuri anasema nitie yule dada kila aliemuona nitie yule dada tukamua kumuita dada
 
hata kama ni ukoo duh (hebu niambie kidogo kuhusu mabere marando alikuwa anatumia sana maziwa na marando?

Ni Majina tu Kama vile Ally Hassan Mwinyi kabla ya kwenda Jando alikuwa anaitwa Nzasa kwa maana ya Mto usiokauka Maji na Mwenyewe kwny birthday ya kutimiza Miaka 90 alituchekesha kwa kusema Jina Hilo liliakisi ukweli mpaka hapo alipofika hakuwahi kupata msukosuko wa Rizki tangu anazaliwa 1925 na akamshukuru Allah kwa kumpa neema hiyo adimu!

Nyerere nae aliitwa Kambarage Lina maana yake japo sijui maana yake lile la Julius alilipatia Shule ( Tabora boys) likiwa ni la Mwalimu wake Mwingereza!
 
Woooow asanteee sana japo Kambarage kama sikosei ni mvua zenye upepo mkali na mawe kama sijakosea.
 
Ni Majina tu Kama vile Ally Hassan Mwinyi kabla ya kwenda Jando alikuwa anaitwa Nzasa kwa maana ya Mto usiokauka Maji na Mwenyewe kwny birthday ya kutimiza Miaka 90 alituchekesha kwa kusema Jina Hilo liliakisi ukweli mpaka hapo alipofika hakuwahi kupata msukosuko wa Rizki tangu anazaliwa 1925 na akamshukuru Allah kwa kumpa neema hiyo adimu!

Nyerere nae aliitwa Kambarage Lina maana yake japo sijui maana yake lile la Julius alilipatia Shule ( Tabora boys) likiwa ni la Mwalimu wake Mwingereza!
Mkuu wewe una asili ya mkoa wa Pwani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom