Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

Status
Not open for further replies.

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,537
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visivyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze.
 
Imeongeza kusema kwamba itaendelea kufanya kazi zake kwa weledi na kuwa tukio la kutekwa Dr. Ulimboka linachunguzwa na jeshi la polisi chombo pekee chenye kazi ya kufanya hivyo.

Pia taarifa hizo zinachafua sifa ya IUWT
 
wamekana taarifa iliyoandikwa na mwanahalisi juu ya ushiriki wa TISS ktk kumteka na hatimaye kumtesa DR. Ulimboka

source;chanel 10
 
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamaba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visvyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze. (source channel ten)

Hawakupanga kumuua bali kumtesa ili awatajie aliye nyuma ya mgomo!
 
hawawezi kukubali hata siku moja.
 
Nasi tunawapuuza ninyi Usalama wa Taifa, kwani ndio mliohusika . kama mnakanusha nani sasa anahusika mngetuambia basi tungepuuza vyombo vya habari lakini kamwe hatuwezi kuupuuza ukweli.
 
Hatutegemei wakubali ndio mana na wananchi tunawapuuza wao !
 
Nasi tunawapuuza ninyi Usalama wa Taifa, kwani ndio mliohusika . kama mnakanusha nani sasa anahusika mngetuambia basi tungepuuza vyombo vya habari lakini kamwe hatuwezi kuupuuza ukweli.
 
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamaba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visvyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze. (source channel ten)

Hapo kwenye red, wangekuja na taharifa kamili pengine tungewaelewa

kuhusu kuwapuuza Mwanahalisi wanaweza wakasubiri sana
 
Hata Magogoni wamekanusha ijekuwa hawa maslai ya mafisadi? tulitegemea watakuja hivyo. Hakuna cha kushangaa zaidi ya kusubiri 2015 tuifumue hii TISS. TISS imekuwa janga la Taifa kama alivyo Mr. Vasco Da Gama Matonya
 
Kama si wao watuambie basi ni nani, au ni yule mkenya. Wasituchanganye hapa, nafuu wanyamaze kimya tu. Pumbavuuuuu
 
Wamhoji kwanza Zoka na Msangi then waje na makanusho yao!! Vinginevyo.......!!!
 
Yakanusha kuwa haikupanga kumuua Dr. Ulimboka na kwamaba kinachotangazwa na vyombo vya habari ni vipande vya taarifa visvyo na ukweli wowote na wananchi wapuuze. (source channel ten)

Tumeshawapuuza TISS na tunajua kuwa Usalama wa Mafisadi ni waongo pamoja na Director wao Kova
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…