iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Mwigulu anasimamia majeshi yafuatayo
1.Polisi
2.Magereza
3.Zimamoto
4.uhamiaji
Kwenye utekaji, waliotekwa wote hawakupatikana maeneo anayoyaongoza kwa maana ya vituo vya polisi,wasanii walitembelea vituo vyote hawakuwakuta
Aliyemtishia Nape si askari aliye chini ya wizara ya mwigulu.
Waliowakamata akina bashe na msukuma, kama Maelezo ni kwamba ni maafisa usalama, hawako chini ya mwigulu kwa maana ya wizara ya mambo ya ndani.
Idara ya usalama iko chini ya Ofisi ya Waziri anayehusika na utawala bora,kama ni kweli ndiyo inatuhumiwa kufanya hayo.
Upande wa mwigulu kwa maana ya Waziri wa mambo ya ndani,IGP na ma RPC tuwatafutie kosa jingine
Lizaboni anadai eti mwigulu ndiye anampa maneno bashe,atayatolea wapi wakati haongozi idara hiyo