S shida Member Joined Apr 18, 2014 Posts 5 Reaction score 3 Jun 21, 2014 #1 Kama kukutwa na Maliasili ya taifa ni kosa iweje wale jamaa waliomuua yule nyoka huko Arusha,Idara ya Maliasili haijawachukulia hatua wauaji ilhali sura na wanapopatikana kunajulikana!?. Kwa sababu serikali haiamini ushirikina.
Kama kukutwa na Maliasili ya taifa ni kosa iweje wale jamaa waliomuua yule nyoka huko Arusha,Idara ya Maliasili haijawachukulia hatua wauaji ilhali sura na wanapopatikana kunajulikana!?. Kwa sababu serikali haiamini ushirikina.