Idara mizigo za serikali

eljouf

Member
Aug 21, 2015
70
27
Serikali zote za CCM zimekuwa ni kuhusu kupeana msosi na si kuleta maendeleo kwa wananchi binafsi sielewi majukumu hamna ya taasisi zifuatazo
Ewura
Sumatra
Tcra
Tira
Na hawa jamaa wa mifuko ya jamii ni dhahiri kuwa kodi zetu zinatumika watakavyo wao hawa majizi.
 
Back
Top Bottom