Kabla hujakimbilia kujibu tafakari angalau kwa nusu dakika. Mpaka sasa hivi idadi ya watu walikufa kwa korona inakaribia milioni 4. Ina maana kama korona isingetokea hawa watu wengi wao wangekuwa hai. Hii ni idadi ambayo haiwezi kujaziwa na idadi ya watu wanaozaliwa.kwani wakifa watu si watazaliwa wengine? maaana hata hapa tunapojadiliana kuna watu wanakata roho na wengine wanaletwa duniani
Enhee hapo hapo, tujue wanaofariki duniani kwa siku wangapi na wanaozaliwa duniani kwa siku wangapi, ingawaje kupata figure exactly ni ngumuSasa hapo ni kuangalia uwiano wa wanaokuja duniani na wanaoondoka
Haya wewe uliefikiri kwa Nusu dakika tupe idadi ya watu waliozaliwa leo duniani.Kabla hujakimbilia kujibu tafakari angalau kwa nusu dakika. Mpaka sasa hivi idadi ya watu walikufa kwa korona inakaribia milioni 4. Ina maana kama korona isingetokea hawa watu wengi wao wangekuwa hai. Hii ni idadi ambayo haiwezi kujaziwa na idadi ya watu wanaozaliwa.
Kweli mtanzania humuwezi kwa ubishi. Mambo mengine ni kutumia logic tu.Haya wewe uliefikiri kwa Nusu dakika tupe idadi ya watu waliozaliwa leo duniani...
Logic and comparison matters, basi tupe takwimu wewe mtumia logic.Kweli mtanzania humuwezi kwa ubishi. Mambo mengine ni kutumia logic tu.