Idadi ya Wapiga Kura ni Ipi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idadi ya Wapiga Kura ni Ipi ?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by AK-47, Oct 29, 2010.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Ndugu zangu nimekuwa nikihisi kuwepo kwa ubabaishaji mkubwa katika Tume ya Uchaguzi, awali walituambia wapiga kura wamefikia milioni 21, baadae wakasema wamefanya marekebisho sasa wapiga kura ni milioni 19 na ushee. Kweli juzi nilipoingia kwenye tovuti yao nikaona idadi hiyo ingawa yana kichwa cha uboreshaji wa awamu ya kwanza kwa mwaka 2007-2008, lakini cha kushangaza leo nimefungua tovuti yao nakutana na idadi hii 18,014,667.

  Swali je inawezekana tume haijui idadi kamili ya wapiga kura ?
  Na Kama ndio basi kunahaja gani ya kufanya uchaguzi bila ya kujua idadi ya wapiga kura.
   
 2. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Nchi iliyoharibika hata ata watendaji wake wanaharibika,kukosekana kwa umakini katika kufanya mambo ni cancer nyingine inayosumbua nchi yetu.CHAGUA SLAA
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Hesabu za Kujumlisha na Kutoa imekuwa tatizo kiasi hicho sina imani na tume hii kabisa
   
Loading...