Ndalichako anasema watu wanapotosha wanafunzi waliokosa mikopo siyo 66000 Bali ni 33000 tu. Naona kama watu wanacelebrate hii inashangaza ina maana wanafunzi 33000 kukosa mkopo kati ya wanafunzi 58000 hili ni jambo la kufurahia? Hamuoni kuwa zaidi ya nusu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza mwaka huu wanakosa mkopo.Hata hivyo data za ndalichako zina utata mkubwa sana kuna uwezekano waliokosa mkopo ni wengi zaidi ya hapo. Time will tell.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.