Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,237
- 1,806
Habarini wanajamvi,
Leo ni siku ya tarehe 20/06/2016,ni siku ya wakimbizi duniani.
Kutokana na taarifa kutoka katika shirika la wakimbizi duniani la UNHCR linasema idadi ya watu waliopoteza makao na kufanywa wakimbizi kutokana na vita linazidi M50 mwaka jana. Idadi hii inasemekana kuwa kubwa kuliko ile iliyowahi kutokea miaka ya nyuma (2WW).
Takriban watu M 17 waliotoroka nchi zao na zaidi ya M 30 ni wakimbizi ndani nchi zao na wengi wao wameishi katka kambi za wakimbizi kwa miaka mingi.
Athari za vita kwa watu M 51.2 walioachwa bila makao dunian
-Data kwa mujibu wa UNHCR;
o-Milion 2.6 =waliotoroka Afghanistan
-Milion 1.2= Wanaishi Pakistan
-Milion1.2=wanatafuta hifadhi kote duniani
Sababu imeangaliwa na kuonekana kuwa inaweza kuwa;
-Vita nchini Syria
-Mizozo katika Jamhuri ya Afrika ya kati na Sudani kusini ambayo nayo imechangia idadi kubwa ya wakimbizi.
Shirika hilo la wakimbizi (UNHCR) limesemakuwa idadi hiyo ni ishara tosha ya athari za kushindwa kuzuia mizozo,pia limesema kuwamataifa matajiri yanapaswa kufanya juhudi kuhifadhi wakimbizi hao.
Wakimbizi hao wamekuwa wakiteseka sana kwa maslahi ya watu wengine.
Mungu na ailinde Tanzania yetu daima.
Amin.