Idadi ya wabunge wanaoaga yazidi kuongezeka

Idadi ya wabunge wanaoaga yazidi kuongezeka

asumpta mshama hana haja ya kuaga, amuage nani wakati anajua hana chake
 
Jamani nina-miss sana Juliana Shonza wa JF! Yuko wapi mbona amekuwa kimya mno. Kaolewa nini?!*%$#
 
Asumpta Mshama huyu anajua kuwa hapati kitu lkn hajaaga.
 
Ni hatari hata huku kwetu jimbo la mikumi mbunge wa sasa ambaye hata watu hawamjui jina wala sura anaemiliki kampuni ya "sas gas" hali ni mbaya baada ya ukawa kumsimamisha msanii "PROFESA J"
 
Huku wilayani MAGU mkoani Mwanza majimbo mawili ya BUSEGA na MAGU mjini yamekabidhiwa Kwa CHADEMA.
Mh.TITUS KAMANI na Mh.FESTUS LIMBU hawana chao kwenye majimbo hayo.
 
HUYU NAYE MPAKA ANACHOSHA,si alisema anakwenda kufundisha vyuo vikuu vya Ujerumali eti yeye ni KIPANGA sana
Baada ya kustaafu kuwa waziri wa mambo ya nje wa USA,mama Clinton alisema hafikirii kugombania Urais tena,Hivi tunavoongea ndio mwananchi wa kwanza kutanganza nia for 2016 election.That is Typical for politicians punguza chuki dhidi ya ZZK itakusaidia maishani.
 
Vunjo vipi jamani. Msee wa Kiraracha anadhani atauweza moto wa UKAWA? Mzee, njoo kijiji tunywe mbege
 
Vunjo vipi jamani. Msee wa Kiraracha anadhani atauweza moto wa UKAWA? Mzee, njoo kijiji tunywe mbege

Vunjo nasikia wana innocent wanamuita tumaini jipya la wanavunjo:what:anaemjua huyu kijana hebu anisaidie wasifu wake!
 
Vunjo nasikia wana innocent wanamuita tumaini jipya la wanavunjo:what:anaemjua huyu kijana hebu anisaidie wasifu wake!


lukesam;
usiogope, kule walichomwa mwiba mara moja tu. This tyme ni UKAWA tuuuu. Hata wangemleta nani ka sio UKAWA wameula wa chuya.
Unakuta tarafa nzima m/kiti wa kitongoji tofauti na ukawa ni 1 tu. Hapo huna haja ya kampeni. Atakaye peperusha bendera ya UKAWA aende majimbo mengine kusaidia kutia nguvu kwani tayari keshapita kwa Vunjo
 
wakati anna kilango yu taabani

Walahi anakilango harudi yeye mwenyewe na mdomo wake alisema nisipo piga lami barabara ya mkomaz ndungu gonja kisiwani had same lami hata kurud kuomba kura sita rudi leo hii tangu uchaguz wa 2010 haja pga hata nusu kilometa.
 
Pro. MARK JAMES MWANDOSYA mbunge wa Rungwe mashariki ameaga sio kuwa kapoteza mvuto bali ni kwa hiyo nafasi ya juu kwani hakuna mbunge mwenye mvuto katika jimbo lake huyo mzee na alipowaaga wananchi wake wabunge 11 wa CCM mpaka sasa wanaiwania nafari hiyo.

Et hakuna mwenye mvuto kwenye jimbo lake, Wewe unaishi rungwe kweli ivi hujauona moto aliouwasha j kaponda
 
Nassari hata kama hajaaga hawezi rudi, Ndessa kashaaga, Msigwa bye bye, Sugu bye bye, yule mchungaji wa karatu bye bye, Lema 50/50.
 
Back
Top Bottom