mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,173
- Thread starter
- #21
Kama vipi tuorozeshe majina ya wabunge waliopoteza mvuto, tuwakumbushe waage mapema maana badae wasije sema hatukuwaambia.
Jamii Forums huwa mzuri kwa kuelekeza watu, naamini Wassira, Mkono, Mwakyembe, Adan Rage waanze tu kuaga kwani wamechokwa.