Idadi ya wabunge wa zanzibar inatisha

Idadi ya wabunge wa zanzibar inatisha

tatizo tunalazimisha muungano..?! while bara tukijitenga hatupungukiwi na chochote!...


Security Mkuu!!!! Bila Muungano na Zanzibar utashangaa Ashabaab wapo Kigamboni
 
Ndugu.

Kuna hoja ya msingi ambayo wajumbe waliotangulia wameidokeza ila naona inapotezewa. " Je kwa wingi huo wa wakilishi wanalipwa kwa fedha zipi? na je ni fedha za walipa kodi wa bara? kwani nina uhakika wao hawawezi kuimudi hiyo serikali kwa kodi zao tu."

to my view huu mzigo ni mkubwa unless kuwe na donors behind
 
sasa pamoja na wabunge kama nyuki in a small land, kaangalie maendeleo, ZEROOOOOOOOOOOOOOO, ni nyimbo za taarabu mitaani na vidole juu, umwinyi uliwaponza, si wafanyakazi imara that is their nature, manenoooooooo mengiiiiiiiiii kitu kidogooooooooooo
 
Zanzibar ninavyo ifahamu ina ukubwa wa kilomita za mraba 2643 sawa na ukubwa wa kama jimbo moja au mawili ya huku bara na kwa sensa ya 2002 ilikuwa na idadi ya watu 1070000 sawa na idadi ya wilaya kama mbili au tatu za huku bara. Kinacho nishangaza ni idadi ya wabunge ambao ni 50 wa kuteuliwa na 20 viti maalumu, sijuwi madiwani na wenyeviti wa mitaa watakuwa wangapi ama huko kwa kata ndiyo jimbo na kijiji ndiyo kata na kaya ndiyo kijiji nashindwa kuelewa na je gharama za kuiendesha hiyo serekali inapatikana vipi
kiinchi chenyewe maskini wa kutupwa, uroho tu wa madaraka wa viongozi. kwanza huku bara kwanini wanakuja kuwakilisha bungeni ilihali hakuna mbunge yeyote kutoka bara anaewakilisha znz?? mi naona muungano hauna maana uvunjwe tu
 
Ukubwa wa serikali ya zanzibar sio tatizo; tatizo ni hayo majimbo ya uchanguzi wa Tanzania huko Zanzibar. Kama wanapenda kuwa na wawakilishi 70 au hata 100 na baraza lao wa mawaziri hata 80 ni sawa lakini hayo yote yaishie huko huko Zanzibar. Sioni kwanini majimbo ya uwakilishi hayo hayo yatumike kama majibo ya ubunge wa jamuhuri. NEC iwe na mipaka yake na ZEC iwe na mipaka yake. Wabunge wanagharamiwa na serikali kuu sio serikali ya Zanzibar. Kuwa na wabunge wengi sio tija ya maendeleo sana sana ni mzigo wa gharama tu kwa wananchi.

8,000,000.00 x 12 x 5 = 480,000,000.00 x 70 = 33,600,000,000 kwa wawakilishi yaweza kuwa wanalamba not less than 20,000,000,000.00

Lets take hiyo 33.6b kama wangekuwa na wabunge watano tu wa zanzibar, serikali ya Muungano ingeokoa 31.2b ambazo zingeweza basi kuwasaidia hao hao wa Zenji kwa mambo mengine ya maana; zaidi ya kujaza matumbo ya wachache ambao kimsingi sioni wanawanufaisha vipi wa Zanzibari kwa kuwepo kwao bungeni.
 
Back
Top Bottom