Laki 4 wengi mno. Laki 1 moja tu lazima police wajambeWadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi.
Idadi ya polisi kwa makadirio ya umoja wa mataifa ni karibu elfu 40 tu. Yani 40,000. Sasa jumlisha ata na vyombo vingine mfano jeshi la wananchi na usalama wataifa. Bado ratio ni kubwa sana. Wananchi ni wengi mno.
Hii ina maana polisi mmoja anahudimia watu zaidi ya 1500! Hii ni kwa nchi nzima. Sasa hapo ondoa wanaolinda sehemu nyeti kama mabenki, vituo vya kura, mahabusu nk.
Je kwa takwimu hizi wananchi wakiamua jambo lao kweli kuna namna ya kuwazuia? Wakitoka ata laki 4 tu! Nchi inasimama. Tutumie logic tu. Ifike mahala tuheshimiane, maana wananchi siku wakilitambua hili. Nguvu itarudi kwao na ndio tutakuwa na demokrasia ya kweli. WATANZANIA AMKENI SASA! NCHI NI YENU, WENYE NGUVU NI NYINYI.
Kwani kuna uchaguzi?Tukapige kura tu, huo ndio mpango wa shughuli ya leo
uchaguzi upo, ni kumchagua rais, mbunge na diwani.Kwani kuna uchaguzi?
Kwahiyo unashauri nini? Madagascar, Nepal, Kenya, Cameroon na pengine wamewezaje vijana kule na nyie mnashindwaje?Laki nne tunaweza kuwashinda tatizo Wana mioyo migumu Bora wa kule Kenya hapa kwetu wanakumaliza na haki utaipata mbinguni
We unakichaa, kwa tume ipi? We sema kumsimika malkia. Hakuna mjanja atapoteza muda wake hapo.uchaguzi upo, ni kumchagua rais, mbunge na diwani.
Kama wapi ushaona kimefanyika nyakati hizi? alafu we unajua magazine ya AK47 SMG in risasi ngapi? Alafu dunia iwaangalie tu Tanzania?Polisi mmoja akipewa sub machine gun (SMG) anaweza kuwamudu raia wenye hasira kali 1000 ndani ya dakika sasa mkija milioni 40 wote na polisi 40000 kwa mahesabu ya haraka mtaondolewa wote ndani ya dakika🐼
Wakipigwa risasi watu 10 wa mbele hapo kila mmoja atashika njia yakeKama wapi ushaona kimefanyika nyakati hizi? alafu we unajua magazine ya AK47 SMG in risasi ngapi? Alafu dunia iwaangalie tu Tanzania?