pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Ile lazima ilipwe hakuna namna na tunailipa uku tunalia.Hhahahahaa.... hii nchi bhana...
Hivi ile bombardier yetu bado imeshikiliwa?
Maana kwa namna mapato yanavyoongezeka, tutakuwa tushawalipa fastaaa...