kama ww si mgeni hapa basi utakuwa mgeni kwenye siasa za tanzania...tafadhali naomba usimuandame raisi wetu mpendwa..na serikali yake mbovu..hivi hujui mh.raisi kati ya viongozi wote waliowaipita ndio kiongozi dhaifu kwenye mfumo na utawala..mh.raisi ni kiongozi aliyekosa mumo wa utawala katika nchi hii ndio maana unaona anajaribu kila mtu kwenye uwaziri...ndg kikwete alikuwa na ndoto ya kuwa raisi lakini hakujua anakuwa raisi kwa maslai ya watanzania,chama chake,marafiki au familia yake...kwa mtazamo wangu mimi siyo mshabiki wa lowasa lakini toka huyu mh. aondoke madarakani hii nchi iko auto-pilot..Jakaya Mrisho Kikwete is a good man(very good man)but never a leader.