Idadi ya mawaziri wa Jakaya Kikwete kuanzia 2005 hadi sasa ni rekodi ya dunia

Kinky

Member
May 22, 2014
45
0
Salaam,

Binafsi sio mgeni hapa Jf, ila hii ni ID yangu mpya.
Kuna jamaa nimemsikia anasema kwamba idadi ya watu walioteuliwa kuwa mawaziri na manaibu waziri katika utawala wa Kikwete kuanzia 2005 hadi sasa (less than 10 years) ni wengi kuliko waliokuwa mawaziri na manaibu waziri katika utawala wa Mkapa na Mwinyi kwa pamoja, naomba mwenye data hizi atumwagie hapa.
Maana jamaa akaendelea kusema kwamba hakuna nchi duniani iliyowahi kuwa na mawaziri wengi katika kipindi kifupi Kama hii Tanzania ya Kikwete.
Tupeni data jamani.

Kinky
 
BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
427
225
kama ww si mgeni hapa basi utakuwa mgeni kwenye siasa za tanzania...tafadhali naomba usimuandame raisi wetu mpendwa..na serikali yake mbovu..hivi hujui mh.raisi kati ya viongozi wote waliowaipita ndio kiongozi dhaifu kwenye mfumo na utawala..mh.raisi ni kiongozi aliyekosa mumo wa utawala katika nchi hii ndio maana unaona anajaribu kila mtu kwenye uwaziri...ndg kikwete alikuwa na ndoto ya kuwa raisi lakini hakujua anakuwa raisi kwa maslai ya watanzania,chama chake,marafiki au familia yake...kwa mtazamo wangu mimi siyo mshabiki wa lowasa lakini toka huyu mh. aondoke madarakani hii nchi iko auto-pilot..Jakaya Mrisho Kikwete is a good man(very good man)but never a leader.
 
Lidelele

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
204

Neither is he a ruler! The only thing our President is good at, is roving! Lowassa ndiye alikuwa mtendaji effective kwa niaba yake. EL alivyoondoka tu ndipo serikali ilivyoanza kuyumba hadi leo. Sasa wanaomba tu muda wao wa kuondoka madarakani uwadie haraka! Safari za nje ya nchi ndo zimekuwa liwazo....
 
educator2025

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
380
500
watanzania sijui mfanyiwe nini mfurahi.. si ni nyie huwa mnalia kuna mawaziri mizigo sasa wakitolewa mnalia lia tena sasa hiv ooh rais toka aingie madarakani ameteuwa mawaziri wengi...acheni hizo jamani
 
Jahman

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
470
250
Neither is he a ruler! The only thing our President is good at, is roving! Lowassa ndiye alikuwa mtendaji effective kwa niaba yake. EL alivyoondoka tu ndipo serikali ilivyoanza kuyumba hadi leo. Sasa wanaomba tu muda wao wa kuondoka madarakani uwadie haraka! Safari za nje ya nchi ndo zimekuwa liwazo....

Sisi wanyaji ukiandika EL tunajua ni Eagle Lager,nimepata kiu mkuu
 
chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,703
1,500
Pombe ya ukawa lager inawatesa vichwani, haya amkeni mkatafute pesa wanaowategemea waende chooni, au hapa ofisini tayari?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom