Ni kweli, hiki kitu sijakiona. Huu ni mwaka wangu wa nne hapa jf, na id za wadada wa jf
ni za aina aina pamoja na zenye neno 'miss', 'madame',.
Lakini sijakutana na id ya mdada yenye neno 'mrs....' Hii inanishangaza.
Kwa nini hivyo? Je, wadada hawataki kutoa taswira kwamba wameolewa?
Heaven Sent, sikumbuki kukutana na id ya Mrs Kharusy hapa jf. Sorry, nimefanya search kweli yupo! Ila kwa bahati mbaya huwa simwoni kwa sababu jukwaa lake pendwa ni JF Chef nami kamwe sikanyagi huko! You are right Heaven Sent, Mrs ipo hapa jf!Wapo mbona, kuna mrs kharusy na yule mwingine sijui ni mrs lelo vile but sikumbuki vizuri
Ni kweli, hiki kitu sijakiona. Huu ni mwaka wangu wa nne hapa jf, na id za wadada wa jf
ni za aina aina pamoja na zenye neno 'miss', 'madame',.
Lakini sijakutana na id ya mdada yenye neno 'mrs....' Hii inanishangaza.
Kwa nini hivyo? Je, wadada hawataki kutoa taswira kwamba wameolewa?
Ala, kumbe ipo id hii yenye mrs?Kwa nini sijaionaga? Ngoja niifuatilie sasa hivi.
Je sais, merci monsieur.